@pius_rubinda: *UJUMBE* : Usimpe Mtu nafasi ya kukujua sana kama hamjui Mungu wako maana atakuumiza sana Mtu asiye uelewa ukubwa wa Mungu uliye naye atachukia sana mafanikio uliyo nayo kwasababu haoni Gharama ya uaminifu uliyo ilipa kwa Mungu wako Muoneshe wema jirani yako ila usimruhusu akujue kiundani Ubarikiwe sana... *Yeremia 17:10*

Pius_Rubinda
Pius_Rubinda
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 10 November 2026 11:30:53 GMT
37480
478
6
27

Music

Download

Comments

felicitepascalin8
felicitepascalin8 :
2 nimesha lota ndoto ile lakini mutu yule ali lamuka na alikuwa mwenye ku nuka sana ,Na mwili wake Ili kuwa lenye Ku oza sana
2026-11-10 22:37:22
0
user7780687594118
samweli wapili :
niaomba unifafanunulie kwa kina zaid ndoto namba 10 naandaliwa kiaje yaani🙏🙏......
2026-11-10 18:14:11
0
user3571976170900
adrian miraj🇧🇷🇧🇷❤️ :
mi nimeota nimejifungua mtoto wa na Nina mimba apo je
2026-11-11 07:38:58
0
aprimatus69
aprimatuspaulkalu :
number 10 ufafanuzi
2026-11-10 18:46:02
0
user9915698570276
tesstess💫 :
kuota ukiwa na mimba ukipanda mlima alfu uko nasimu ujichukuwa picha lakini kuna mama ana kukataza na ana kusaidia kupanda mlima na walikuwa wamama watatu wawili bele yako nauyo mwangine nyuma yako
2026-11-10 19:48:05
0
bulemobulemo
Bulemo Bulemo :
mi naotaga nakata kucha inaakaaje hiyo
2026-11-11 08:10:02
0
To see more videos from user @pius_rubinda, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About