@zan24.online.tv: IDADI YA MALALAMKO YA FIDIA KWA MIRADI SEREKALI 2025-2026 MAWAZIRI WATOA TAMKO NA KUUNDA KAMATI MAALUM TIKTOK#zanzibartiktok #viraltiktok #visitzanzibar
Hawazitak pesa ni ndogo sana mnawadhulimu watu mtu anaona bora asamehe amyachie munguu
2026-11-10 13:33:43
4
0mar bare :
zulma tu smz
2026-11-10 14:10:26
2
3M :
Amesema Allah, ktk Quran akisimlia qissa cha balqiss, aliposema balqiss kuwaambia mawaziri wake, ANAPOINGIA MTAWALA MPYA KTK NCHI, KITU CHA KWANZA HUFISIDI NCHI HIYO NA KUWAFANYA WAKUBWA KUWA WANYONGE NA WANYONGE KUWA NA NGUVU. hapo panatosha.
Mtamaliza utawala wenu hao hawatakuja dhulma na fisadi mmejitaahid.
Unamwita mwananchi umlipe fidia unamuelekeza km ardhi mali ya serekali sio yakwake utamlipa miti au jengo kwa thamani ndooogo. Au awe na warka ndio mnapandisha thamani, hao 121 hawaji msiwatafute. Ah walal aakherat khairun laka mina l uula. Akhera yetu ni borakuliko dunia yenu.
2026-11-10 20:05:02
0
.. :
Muogopeni MUNGU jamaniii hih!
2026-11-10 14:41:22
1
user2741558477966 :
kule Jumbi Zanzibar herroes mbona kimya kikubwa kulikoni na tayari tumeshaharibikiwa kule, tuhurumieni tafadhali😭😭😭
2026-11-10 19:01:53
0
Ommybally :
muheshimiwa sisi hatukatai kuondoka ila wat wanatupiga hela tasmin tofaut na nyumba ya mtu hawamulowapa kutowa tathmin wanatuibia
2026-11-10 18:32:00
0
YN :
Wizi mtupu sio fedha sent Kama pesa wangekuja
2026-11-10 18:23:39
0
user5339978603821 :
wizara ya maji hawajataka kunilipa nawadai na hawapo tayari kunilipa..
2026-11-10 17:20:02
0
user7224077455057 :
mie nimebomolewa sijalipwa na sijasamehe mapka tunafufuliwa kwa mungu
2026-11-10 17:42:16
0
Abdallah :
Mh wapili umeongea vizuri na point zako zina mashiko oko sawa huo ndio uwongozi bora💪💪
2026-11-10 16:16:06
0
user6612530310128 :
Huyo msemaji wa pili ameongea point sana. Mlikuwepo wapi msifanye utaratibu kama huo right from that beginning. Hawa watu wanaokuja wanatudharau na wanafanya wanavyotaka. Ukiwauliza wanasema wametumwa na Dr Khalidi. masheha hakui wala hawatuelezi kitu nao wanadharauliwa pia.
2026-11-10 14:57:01
1
Ali Khatib :
Mh shabani unatoa maelezo mazur lkn ujue kwenu kizimkazi watu wanaumizwa huku
2026-11-10 14:56:56
0
Ochu :
Hongera wewe ndie mrisi wa Raisi wetu mpendwa piga kazi baba
2026-11-10 13:47:13
0
Ommybally :
muheshiwa njoo usikilize malalamiko yetu watu wa maruhubi njia mpya kutokea daraja bovu
2026-11-10 18:33:56
0
user5339978603821 :
mimi bado sijalipwa hadi leo na . mawasiliano wamepora mali yangu.elimu .kilimo . idara ya ardhi wote wamechukua maeneo yangu na hawajataka kunilipa.
2026-11-10 17:17:21
0
chichi biro :
muna wajua walipo usi jidai muna wata futa
2026-11-10 14:21:12
1
manga :
Ndio mana mwisho mnapooza kwa dhulma
2026-11-10 14:52:41
1
0mar bare :
mtu umpe pesa asa czan kama atalalamika
2026-11-10 14:11:20
2
whiterooney :
uko kizimkazi tumekufaa waliotutendea sihaki atakidogo
2026-11-10 20:05:43
0
To see more videos from user @zan24.online.tv, please go to the Tikwm
homepage.