@ruwamedia01: Kwani Simba la masimba hapokei simu zenu huko?😂😂 #ruwamedia #fyppppppppppppppppppppppp #fypシ゚viral #diamondplatnumz #creatorsearchinsights

RUWA MEDIA
RUWA MEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 10 November 2026 12:23:48 GMT
50402
2089
33
11

Music

Download

Comments

eliasjr8
Elias Jr 🇹🇿✊ :
sio Simba tu hata mi nikijipata mtanimiss saana 🙌✌️
2026-11-10 14:12:48
27
lizy.baby58
lizy baby :
anachoongea kweri mm ndugu yangu ila alinipita hivi hivyo niliumia sana
2026-11-10 13:41:10
24
bakema_sr
Rashid Bakema :
diamond anzngua sana juzi nlmpgia zaid ya mara3 hapokei sim zng
2026-11-10 14:34:03
6
emmyethan5
Official Emmy🍎🦋 :
Nmekukubal knoma🥰
2026-11-10 13:55:02
19
katefar.farm
Katefar Farm :
huyo machozi ni mm kabisa
2026-11-10 15:20:20
2
dzeko.maestro90
Dzeko Maestro90 :
Sio kwamba nahisi ni ukweli kila alichoongea ni ukweli respect sana kwa Legend
2026-11-10 14:09:54
8
user3411824924672
user3411824924672 :
wewe umemsapoti nani?
2026-11-10 14:43:29
1
kehekvdifn8
Mirando :
Ndio hata Kaka yangu hapokeyi tn sim zangu
2026-11-10 15:14:39
1
monga_visual
monga_ visual :
ukiiijuwa hio kitu uwezi ona watu wabaya😂
2026-11-10 14:32:37
5
salmaabdalah68gmail.com
IT'S MIMAH 🇹🇿🇴🇲 :
New challenge 😅😅😅
2026-11-10 15:08:51
0
don._shwari
Don _Ba-Neville :
wacha diamond hata kingwendu na king'amuzi hawapokei Simu zangu😂😂😂
2026-11-10 15:20:58
1
modachiman
MINAH MO,,BABAA :
oy we me nimesha jipata yan nimerika nilipo MAKOFI
2026-11-10 14:23:46
2
rojas13784
💥Roja👑 💢msafi💯👊💥 :
Ndomaana ata juzi hakupokea simu yangu
2026-11-10 13:51:22
2
user84653611656922
Regina :
diamond anafanana na mario kwa mbali
2026-11-10 14:45:19
0
chia35360
chia :
Hpn jmn Mond hayupo hvyo
2026-11-10 14:56:54
1
user4265312935694
user4265312935694 :
ndugu tu wakipigiwa hawapokei
2026-11-10 14:27:06
1
bushiri49
bushiri49 :
Hussein machozi musani wangu wa utotoni kabisa nilimupenda sana apa RDCongo
2026-11-10 14:52:27
1
mikono100tzmlimba
MIKONO 100 TZ MLIMBA :
saii
2026-11-10 14:20:42
3
mzee.w.hekima
Dr Jacques :
Nakupenda san Hussein,wimbo wk bora nirudi jela..
2026-11-10 14:52:38
0
zabibumahubah
Zabibu Mauba :
cm zingine za kuombaomba jamani wanachoka kutoa misaada Mmweeeh!!!
2026-11-10 14:51:32
0
mbago.sailoni.mba
Mbago sailoni mbalawata :
ila mondi atalaumiwa sana
2026-11-10 15:06:54
0
berryfilmmaker
That Tall Guy :
Wewe unamjua Mondi humjui
2026-11-10 14:54:29
0
wizah5
DON MENDEZ :
Yule anajua binadamu hamna shukrani.
2026-11-10 14:58:16
0
rashidiog12
rashidi og :
atapokea sim ngap🙏🙏
2026-11-10 15:16:45
0
exavery1234
daniel :
DIAMOND HANA SIMU
2026-11-10 14:59:16
0
To see more videos from user @ruwamedia01, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About