@bongofive: Ujio wa Davido na mkewe Chioma nchini Tanzania umeibua maswali mengi baada ya kuwasili alfajiri ya leo na kupokelewa na Diamond Platnumz pamoja na Zuchu katika uwanja wa ndege. Kinachoongeza udadisi ni ukaribu wa Diamond na Davido, ambao mwaka 2014 waliungana kufanya wimbo wa Number One Remix, uliokuwa miongoni mwa collabo zilizozungumziwa sana Afrika Mashariki na Magharibi. Sasa baada ya miaka kadhaa kupita, Davido amerudi Tanzania na kupokelewa kwa magari ya kifahari yakiwemo Rolls-Royce ya Diamond na Bentley ya Zuchu. Je, huu ni ujio wa kawaida wa kutembeleana au kuna jambo kubwa linaandaliwa kati ya mastaa hawa? @cathed__

Bongofive
Bongofive
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 10 November 2026 12:55:49 GMT
37657
2811
32
26

Music

Download

Comments

abubakarseleman24
mawigi :
wa nni ss mi kwanza sijawai kuwafatilia wanasaidia nni
2026-11-10 13:27:29
3
user1619800294000
chonzo :
mwijaku yukwapi jamani
2026-11-10 14:07:43
5
.babra7
🥰 babra❤️ :
Ongea haraka harak bando langu linaisha🤣
2026-11-10 18:00:39
1
lailatsaidi185
Lailat Saidi :
Uhakika dada [Big LOL][Starstruck]
2026-11-10 14:01:03
0
user4946153843322
diamond Simba olivier :
thé Big Boss davido
2026-11-10 19:03:38
0
pascarsilver
Paah.tz¹ :
Mbon Davido kafanan Na Paschal Cassian
2026-11-10 17:55:42
0
agrey_xiiivoid
𝒜𝒢ЯΞ𝒴_𝒳𝐼𝐼𝐼𝒱Ø𝐼𝒟 😈🎱 :
collaboration tunaisubil
2026-11-10 14:00:00
0
eliemuvunga62
Elie Muvunga :
bien
2026-11-10 20:08:40
0
tunaizii.687
🍀[email protected]🎽 :
2026-11-10 14:07:10
0
mabo6965
maboso og1 :
upo nalo wewe sio wote
2026-11-10 13:40:28
0
2mkwizu
KE2 :
sema umezdi umbeya dad
2026-11-10 14:32:53
0
zuuhkidoty123
pretty zuu :
walikuja kuonyeshana wanawake zaoo live
2026-11-10 16:15:04
0
garoban.masauna
Garoban Masauna :
💗💗💗
2026-11-10 19:48:07
0
jayb49781
jay-B :
😁😁😁
2026-11-10 19:21:06
0
user86334624301571
husna😍 :
[Innocent][Innocent][Innocent]
2026-11-10 20:47:00
0
shabani.ndaishimi
Shabani Ndaishimiye :
🥰🥰🥰
2026-11-10 20:03:59
0
ally.fadhili97
ssL :
✌✌✌
2026-11-10 18:08:45
0
esharujaina
Esha Rujaina :
🥰🥰🥰
2026-11-10 15:32:36
0
bibichebbc25
Bibichebbc25 :
❤️❤️❤️
2026-11-10 15:31:32
0
alimusa1363
Awill mussa :
😳😳😳
2026-11-10 15:30:44
0
finidi.bukuku
Finidi bukuku :
❤️❤️❤️
2026-11-10 15:10:34
0
skateboard.thomas3
IR MUKUNGA KANDANGWE THOMAS :
🥰🥰🥰
2026-11-10 15:04:36
0
diamamonboy
moon boy💝💝💝🇨🇩🇨🇩🇺🇬👍 :
🥰🥰🥰
2026-11-10 14:40:52
0
aisha.aisha513
Aisha Aisha :
🥰🥰🥰
2026-11-10 14:45:51
0
tan.nation4
TAN NATION :
😳😳😳
2026-11-10 13:30:11
0
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About