@memes_tz2: @𝐕𝐈𝐁𝐄𝐒_Tz @Thandy🧸💗 @🖇Dath🌸..

@memes_holic😂
@memes_holic😂
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 10 November 2026 12:57:54 GMT
61951
4122
391
325

Music

Download

Comments

caroline26mboya17
Twiga Mpole🐾💋 :
sasa anakaa kwao tutaenda wapi🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-10 15:31:02
308
balqis.mohamed17
Balqis Mohamed :
Long distance relationships lazima gesti waitumie 😌😌
2026-11-10 14:23:02
59
5359tann
Ashy♥️♥️ :
kama anamke anipeleke wapi?
2026-11-10 16:31:45
143
hurayna40
Hurayna :
mimi ndo namwambiaga twende gest
2026-11-10 14:52:38
86
fridah....57
Winnie Mushi😘 :
😂😂😂Aya namsubir anipeleke JUMUIYA
2026-11-10 16:34:13
36
itsnarrae
✨it's ~ Narra🌸🦋 :
Sasa anipeleke wapi machakani
2026-11-10 15:58:31
38
klyn4449
Kelly🍫 :
kwahiyo anipeleke police au🤔
2026-11-11 03:54:25
9
user6326141520144
Toto Ya Tajiri💰 :
khelii mim nilipelekwa polini🤣🤣🤣
2026-11-10 19:22:36
17
user1582513123998
Ayman :
mimi nilipelekwa gesti sana na huyo huyo ndo kaniowa leo hii tupo ndoani twapambana😂😂😂
2026-11-10 19:03:51
16
young.pabloscoba123
faah🌸🩷 :
Kama anamke wake anipeleke wapi sasa 🙈😂
2026-11-10 17:45:49
6
lizzy.wa.mama
Lizzy wa mama :
mm popote Kambi muhimu mkwanja
2026-11-10 17:51:34
9
ruuchloes6
🦋Ruu🦋 Chloe's 🦋💜 :
nyie viponza😂😂😂
2026-11-10 23:22:25
0
pjh498
🌄 :
sasa kama anaishi kwao
2026-11-10 16:12:28
5
poshlicious_ubuyu
poshlicious_ubuyu :
Fact baby girl🥰🥰🥰🥰
2026-11-10 17:05:06
0
userprisckaar
baby 💞 :
sio kweli 😔wangp walipewa hadi funguo zama get na bd waka achwa
2026-11-10 18:01:26
11
mch4fu
khami~J🔗 :
usitoe code kaka
2026-11-10 17:50:24
0
vestina.zakayo
Tina 🥰💦 :
ndio najiandaa kwenda hata me simpendi
2026-11-10 18:18:58
6
malkiabalqis
malkia balqis :
tawileeee
2026-11-10 19:45:42
0
aim_amandaa
👑I am ❣️Amand❣️ :
pungunzeni ushauri wote sisi ndy mar ya kwanz kuish duniani😁
2026-11-10 18:54:27
6
rahmamsamba
nino msamba🥰🥰 :
bola anipeleke gest kuliko kwenda kwake asubuh nianze kufanya usafi
2026-11-10 18:41:11
8
jariaseleman
J.Baby 😍❤️ :
Hotel je😂😂😂💔 nauliza tu sjapelekwa
2026-11-10 15:12:25
17
evalina.mazim
evalina mazim :
mm nilikuwaga naenda kwake saiv anasema tuwe tunakutania gesti nimemwambia aachane na mm bola kuwa singo sio kwenda gest
2026-11-10 14:31:07
6
officialreeny6
🦋Reeny🦋🌸 :
Watu mnajitetea sana yoooh 😂hata akiwa mume wa mtu Kama anakupenda anakupangia akulipie kodi binti msumi Sawa
2026-11-10 17:09:19
7
siraji3104
SIRAJI :
asa nyumbani yupo mke wangu unataka nimpeleke wapi huyo dem mwengine😂😂😂
2026-11-10 15:48:03
5
nathanielyernest
nathaniely ernest :
Asante kaka kwa kuniteteq maana me huwa nampeleka kwenye majumba mabovu
2026-11-10 18:33:37
3
To see more videos from user @memes_tz2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About