@habari_digital: VIDEO: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Paul Christian Makonda, akizungumza katika maadhimisho ya miaka 100 ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha – Mount Meru, akieleza namna alivyobadilisha mtazamo wa watu kuhusu Wizara aliyopewa, huku akisisitiza kuwa mafanikio ya taasisi yanategemea pia uongozi na utendaji wa mtu aliyepewa dhamana.

HABARI DIGITAL
HABARI DIGITAL
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 10 November 2026 13:12:54 GMT
146776
5811
489
179

Music

Download

Comments

user8193714147528
almasimrema :
wasikilizaji wapo serious wazir anajichekesha
2026-11-10 14:53:32
112
cheguevara423
big boy :
anajichekesha
2026-11-10 14:46:14
30
kangeboy999
𝔼𝕞𝕚𝕝𝕪79 :
Fanya haraka umalz kikao watu hawako pamoja naww
2026-11-10 18:00:25
37
jeremiah_mboya
Mboya Jr. :
kodi zetu zinaliwa alafu watu wanacheka cheka hovyo
2026-11-10 14:38:00
75
ayoubkhatibu
MBUYU :
wewe ni mwamba wa Tanzania sasa tunakuaandaa uwe Rais wa Tanzania
2026-11-10 16:45:36
12
mckaluta
MC KALUTA :
Not ethical
2026-11-10 15:50:07
15
mwansasu2
mwansasu 🌵🦂 :
speech less kabisa kwa kiongozi mkubwa kama huyu
2026-11-10 17:05:11
26
jara_memories8
jara_memories8 :
uzuri kicheko cha furaha tunakijua na kicheko cha kujionesha tunakijuaa
2026-11-10 21:08:27
12
wence_zillion
Wenceslaus :
very hopelss
2026-11-10 16:54:19
5
benso335
family :
watu wanashangaa nini hiki
2026-11-10 16:19:28
11
petermushi23
mushi :
Baba levo akutaka ungoke yy alikuwa anataka ss wananchi tujue pesa zetu zinatumikaje?
2026-11-10 16:27:43
11
benjamin.charles90
Benjamin 124 :
ila makonda waga simkubali
2026-11-10 18:12:12
7
eliasjames545
Elias James :
sioni kama hicho nichakujisifia
2026-11-10 15:58:47
7
taita4808
taita :
tunaitaji maendeleo sio michambo
2026-11-10 17:29:37
6
francsony24tz
francson :
cjawah muelewa
2026-11-12 06:28:59
2
malume.cmg
malume cmg :
sasa mbn kuchamba kwing wenae
2026-11-10 15:12:42
5
meckjonathani
Meck Jonathani :
sasa michambo ya nini
2026-11-10 15:15:51
5
mjuni03
mjuni03 :
Watu wanakuangali tu , hata husutuki 😂
2026-11-11 19:38:39
1
user3760984619495
King S Rubota :
ila hii inchi daah🤔🤔
2026-11-11 11:54:10
1
salum.shaibu4
shabydoo :
time will tell
2026-11-10 17:02:40
1
godtruster.16
unknown :
hii ni shida kwenye taifa letu hata maofisini ipo, mtu asihoji vitu vya msingi, anayehojiwa anaona wanahitaji nafasi yake daa!!,,, kwahiyo watu tusihoji hatakama kuna mambo tunaona hayaendi sawa
2026-11-11 13:27:42
2
user5143277246381
Mizani_ya_Imani :
Kwa hiyo CAG kadanganya?
2026-11-12 14:06:35
1
kuhanda.og
Mbunge wa TikTok 🇹🇿 :
nakuamini sana ila punguza mkuu kujimwabafai 🥰🥰🥰 nakupenda🥰🥰
2026-11-11 07:22:58
2
mrutu_stephano
MRUTU FURNITURE @ :
jamuhuri ya muungano wa Tanzania 🇹🇿
2026-11-10 16:57:02
2
bonymsangi
Boniface B. Msangi :
mh
2026-11-10 16:58:02
1
To see more videos from user @habari_digital, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About