Sijui kama siku moja nitakuwa mteja wenu, lakini Mungu anajua jinsi moyo wangu unavyotamani kumiliki kagari hata kamoja. Nimechoka kuota tu, natamani siku moja ndoto hii iwe historia ya maisha yangu. Mungu nifungulie milango. 🙏🥺Mungu wangu, na mimi nikumbuke. familia yangu inasubiri siku moja ifurahie matunda ya ndoto zangu. 🙏😭❤️Wengine wanaona gari lakini mimi naiona ndoto yangu.🙏🧎♂️😔
2026-11-11 14:16:17
0
ALLY DA REAL 💥 :
Wajivuni kaeni mbal bingwa ni 1 tu
2026-11-10 21:47:59
0
ujenzi_ connect :
ndoto yako itimie bingwa
2026-11-10 22:14:07
1
johnwick07 :
Ameni
2026-11-11 08:01:57
0
mick :
Waongo Waongo awajivuni. Huku awapajui.. Kaka nawewe ndoutakuwa wakwanza kuleta show room kama hiyo
2026-11-10 20:17:40
0
dotto :
nakubar tajir
2026-11-10 20:55:16
0
Eyz_Mac_Tz :
amin
2026-11-10 17:30:27
0
Alpha A/C ❄️ :
mungu amtupi mpambanaj
2026-11-10 17:29:58
0
CHANGAMOTO ZA NCHI YETU :
umenichekesha ulivyosema unadance ila hauoni kama hela yako inaenda
2026-11-11 06:15:46
0
Cheetah forever :
tuna kuombea ufikeuko
2026-11-11 06:14:24
0
Pasco Pasco :
ukisika jogoo wa kijijini hawiki mjini huyo anawika na anabonda 🤔
2026-11-10 21:00:32
0
ANORDY WWW :
🥰🥰🥰
2026-11-11 06:15:35
0
mwale :
💪💪💪
2026-11-12 07:26:32
0
To see more videos from user @bingwawamagari0, please go to the Tikwm
homepage.