Kwanini sisi tunapoingia kwenye meli tunakosa viti vya kukalia? Je, viti hivo wamekalia watoto hao waliozidi au kuna utaratibu gani unaotumika?
Tatizo lenu ZMA ni kwamba bado hamzingatii sheria ipasavyo wala kusimamia utaratibu wa huduma kwa abiria.
Haiwezekani abiria wanaolipia huduma wakakosa sehemu za kukaa huku kukiwa na maswali kuhusu matumizi na ugawaji wa viti ndani ya meli.
Nalisema wazi: jambo hili nitalifikisha tena mahakamani, na safari hii hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi ya ZMA kwa kushindwa kusimamia haki na utaratibu wa abiria.
Tunachohitaji ni haki, uwajibikaji na usimamizi wa sheria, siyo upendeleo.
2026-11-10 18:55:04
0
Ally Salim :
kwani mungu anauwa watuwazima tu
2026-11-10 19:00:08
0
kizimkazi_official :
kweli kaak umesema point
2026-11-10 17:09:31
0
lahid-001 :
Hakika
2026-11-10 16:25:06
0
sumayy Mohamed 💫 :
mashallah
2026-11-10 16:54:55
0
user2451563785491 :
mashallah
2026-11-10 16:58:51
0
Khamis Muhunz :
shida ya usafiri majini haswa vinavokwenda Pemba ndio maan unakuta mt ana watot 4 hadi 5
2026-11-10 17:15:59
0
To see more videos from user @zanzibarmaritimeauthorit, please go to the Tikwm
homepage.