hapo wakati TAA kina anzishwa nyerere ana umri wa miaka mi 6 😳
2026-11-11 18:59:14
2
morganandey :
ambiguous
2026-11-10 18:30:36
1
RIPOTI MAALUM :
inatufundisha nini katika kuutafuta ufalme wa Mungu
2026-11-14 09:34:56
3
Mitindo Tanzania :
Huu ni ukweli ila kukubalika sio rahisi. Matangopori ni mengi shuleni
2026-11-10 14:43:19
3
Rajabu Seifu :
kabuli lake lipo magomen mapipa
2026-11-14 19:28:33
2
rehema munzaryer35 :
shee mungu akupe janat filifausi nilikua nakukunali sana
2026-11-12 13:10:46
3
makala :
Allah ampe kauli thabiti Sheikh,moja kati Masheikh wachache wanaliojielewa
2026-11-17 12:13:44
1
Khamis Salum :
waislamu wenzangu naomba nijuie kaburi la Sheikh Ilunga plz anaejua anipe location nende nifanye dua kwa sheikh wetu Allah amweke pepo ya firdausi🥰🥰🥰 amiina
2026-11-14 13:27:43
3
champion :
muhuni
2026-11-11 18:47:06
0
jacksonjuliusmoll :
ukwli mtupu
2026-11-13 22:49:39
2
mohammed :
mashallah hakuna kama wewe.
Allah akujalie pepo na akukutanishe na waja wema yarab
2026-11-14 22:02:10
1
mo22fx :
ukweli ni jambo la haki lisemwe watu wafahamu, kisha wataamua cha kufanyia wao taarifa waliyopata.
2026-11-12 19:50:27
1
user4711795682152 :
tutoehojav riomatus
2026-11-12 20:15:03
1
Suleiman⛎ :
Inauma sana
2026-11-10 15:47:16
1
user83299506181586 :
sasa ndio Nini hii tunafundisja Nini hii
2026-11-12 11:24:26
0
mpunga :
sio wakuamini wakilisito si ndugu wakimani
2026-11-15 05:08:55
0
Haile SelassieJ23 :
namfaham sana Mzee harob
2026-11-17 17:16:13
0
A d s :
hakika
2026-11-14 04:39:21
0
Born to suffer :
Mtaacha lini kulalamika lalamika ?
2026-11-10 21:11:08
0
To see more videos from user @haaabib007, please go to the Tikwm
homepage.