Kweli kuna vitu vinatuumiza sana ila usikubali maumivu yaingie kwenye akili kwasababu utapoteza uelewa jamaa sawa anahoja anadai lakin kwaanacho kifanya ndo kinamuweka yeye upande salama au ndo anajiharibia completely 🤔 wakuu tujitahidi kuzitumia akilizetu vizuri hasaa wakati tukiwa na gadhabu🔒🙏
2026-11-10 17:22:00
25
vitalisarbogast :
hapana hatakamaunadai sio sawa
2026-11-10 17:52:06
1
Thadeus_Emmanuel :
Mkiambiwa msiwacheleweshee mishahara hamsikii 😂😂😂
2026-11-10 16:07:51
5
HIMU :
hapo hata mwanasheria wako awezi kupokea simu
2026-11-10 17:33:30
20
Benjamin Benjamin :
duuh,,, watu hawana cha kupoteza kwenye haya maisha, hapo hata wakimwambia alipe hawezi lipa hata kitu kimoja ni hasara kwa kampuni hata kampuni ikienda mahakamani, cha msingi kampuni ingekaa nae mezani mapema kabla ya haya yote,, maslahi ya mtu yaheshimiwe
2026-11-10 17:21:01
13
BEKAM :
Unaona jinsi anavyo operate Vizur 😂😅🤣
2026-11-10 18:24:19
8
bekabysir :
maamuzi magumu hayataki vikao🫡🫡🫡
2026-11-10 19:07:33
4
pappy dady🔥🎖 :
na me boss wangu naona ananitania we muache tamuonesha dunia ilivo,,leo tar 10 hajanip hela ya tar 30
2026-11-10 17:07:21
4
CALVIN SWAGGS STORE :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]both team to score safi sanaa
2026-11-10 18:43:42
0
memoo.py :
sasa hivi ndo mnakumbuka anadai shingapi eeeh?
2026-11-10 18:07:42
5
Hitman :
brother of dedtructions
2026-11-10 19:12:06
0
kibinda Z kibinda :
anger brings damages
2026-11-10 19:10:43
0
Isra _bax2(h/i)🌹🌹🙄 :
hawa huwa wanaletewa dharau sana kwenye malipo so mi kwangu naona 💪
2026-11-10 18:29:02
4
The haule :
Iyo lini iyoo
2026-11-10 18:43:12
0
CONBABA :
Op umesahau kuweka power kwenye mashine
2026-11-10 18:27:12
0
@jovinyowbk :
ilikua wapi hiyo
2026-11-10 18:25:34
0
Joe :
Nani kamuudhi gen z??
2026-11-10 17:44:51
4
Ms.mwaki :
Jmn alichofanya huyo op sio sawa kabisa sijui chanzo ni nn hata kama anadai hela haiwezi kufika thaman ya hivyo alivyoharibu maana hata sisi kuna muda unafanya kazi wanakubabaisha malipo unaamua tu kusepa kufanya mishe nyingine Op hawezi kukosa kazi sasa hivi akikamatwa si muda mwingi anaishi jela
2026-11-10 17:12:14
2
Hammy jr :
watu wanawekeza vitu kibao harafu kumlipa mtu mmoja mshahara wanashindwa.
2026-11-10 18:16:42
1
𝑀𝐵𝐼𝑆𝐻𝐼 𝐽𝑅⛑️ :
HII MOVIE INAITWAJE
2026-11-10 18:58:25
0
LeMontana :
hii clip ya kumuonyesha boss wangu mwisho wa mwezi 😅😂😂
2026-11-10 18:04:06
2
~MALUME~👊🏾🤞🏾🎲🤡 :
Sema jmaa umetisha sanaa 👊🏾👊🏾kuna time unalia huku moyo una aman malume appriciate 🫡🫡
2026-11-10 18:21:15
2
pablò vin🏀🎱🎮 :
kuna vitu vinaumiza sana acha jamaa afanye kinacho sita hili maana uwez beba yaliop moyon
2026-11-10 18:13:31
2
materu💡🛠️ :
oya Usiwazingue ma operator 😄😄
2026-11-10 18:04:46
1
To see more videos from user @petersospeter, please go to the Tikwm
homepage.