kuna dem nilikua nae akanywa bia mbili akaanza kucheka cheka biaya nne akaanza kulia nikamwambia unalia nini.akasema eti mama yake alikufa kifo cha ukatili sana kabra sija muulize tena nika sikia mamaaaaaaaaaaaaaaaaa. amka mamaaaaaaaaaa. yani hadi nyege zote zilirud tumboni
2026-11-10 21:04:57
3
Renee🦋❤️ :
M nacheka Mtajua wenyewe 😂😂😂😂
2026-11-10 20:29:09
1
Mrs kauki :
Kwan nn jamn
2026-11-10 18:19:38
3
matola daughter💕💕 :
New challenge in town 🤣🤣🤣kama nawaona wabongo wenzangu
2026-11-10 20:58:22
3
Helly🛍️cosmetics :
bia na kulia ni 🤞🤣🤣
2026-11-10 19:25:13
1
ven,chesco. :
challeng is loading.......
2026-11-10 20:55:10
0
Jachuu De Mutta :
Maumivu ya pesa ya mwanamke yanazidi maumivu ya mwanaume anapotahiriwa
2026-11-10 20:31:37
1
mrs beatha :
mtumeeeee kwanini lakini mume mfanyia ivi dada yangu lakini?
2026-11-10 18:32:17
1
It’s me ney :
Apo inaongea Serengeti 😂😂😂 sio yeye ata
2026-11-10 16:20:34
5
Joseph Mnyamale :
Ila wasukuma[Tears of joy]
2026-11-10 20:23:46
0
Annastazia Maneno :
challenge hiyoooooo
2026-11-10 20:42:47
0
Fardmimi :
Uyo ndio mm nkilewa na mimi uwa nalia ivyo ivyo
2026-11-10 20:42:36
0
Naomy Joseph :
haaaaaa!loyiii
2026-11-10 19:20:16
0
Leahmwita🫧🌬️🎀 :
Mimi nj uyo kaka pale pembeni huwa sisikii jmn
2026-11-10 20:57:42
0
lucy mathias :
nasubilia chalenj
2026-11-10 20:58:29
0
Mrs ❤️❤️ :
😂😂😂😂
2026-11-10 19:07:45
0
MARWA Tz :
2026-11-10 20:56:37
0
zai :
chondejaman msiifanyie challenge
2026-11-10 20:55:02
0
namdam@1234🇹🇿🤝🇴🇲 :
2026-11-10 19:13:36
0
D ns♥️ Celina :
ila Serengeti 😁
2026-11-10 20:58:41
0
ᴍʏꜱᴛɪᴄ♏ :
mpeni ata hio sim basiiii hela chukueni
2026-11-10 21:00:09
0
Jescar💚💛 :
🤣🤣
2026-11-10 21:08:04
0
To see more videos from user @loycewlliam, please go to the Tikwm
homepage.