Huu ndo Usabato nnaoujua mimi, uliotuongoa wengine kutoka jpili na kuitunza sabato ya siku 7. Hizi zingine nnazozishuhudia leo sijui VIKANYAGI sijui makorokoro gani!!? Siyo USABATO
2026-11-11 23:38:30
9
Lucas bwire :
hy kwaya ya kanisa ety
2026-11-11 07:12:14
1
Monica Lusesa :
jina la wimbo
2026-11-12 16:02:08
0
Mun-Awal :
to be honest hii ndiyo kwaya ya sda inayofuata sheria za mungu kwanza wanavaa kwa heshima hawajasuka barikiwa sana