kumbe tupo wengi tuliofurahi kumuona mama yetu Diana
2026-11-10 18:07:02
24
Adelina Lyonile :
Diana nimemuona much love to you
2026-11-12 20:28:23
1
darachel-collection :
nilimiss huyo dada mweusi
2026-11-12 16:20:49
2
Kelly_Lusichi Bulimo :
❤️❤️
2026-11-10 17:04:58
21
priscillahjoseph7 :
I love this mom mwambieni tumemmis❤️❤️❤️❤️
2026-11-12 10:55:14
3
giffmwakilasa :
mbona legend wote nawaona wanaimbia kwa waumini, CVC inawatu ambao ni icon hawakupaswa kabisa kupumzika aisee waimbe
2026-11-11 05:05:40
5
Jane Jonas :
Dada Diana tunaonba j.pili nawe upande hapo na Mpinga kristo[Heart eyes]
2026-11-10 16:37:42
3
Mutunga Isaac :
Diana may Lord continue blessing you alot , your legend,
2026-11-10 17:44:21
4
Dee :
jina la wimbo
2026-11-11 13:37:24
0
Fred John :
kanisa lenu lipo wqpi
2026-11-11 17:13:50
0
ABC Waruku Church :
We know the song by heart. Thank you for always being a blessing to others & keep being blessed.
2026-11-11 04:30:14
1
Dickson Jacob :
Diana 🔥
2026-11-11 09:02:04
2
~skn~ :
wimbo unaimbwa simameni
Kuna mm nilikuwa nimekaa 🤷
2026-11-10 20:22:31
2
mama d :
mbna mama uyo haimbi
2026-11-11 20:21:07
1
Rowan :
nimewaona Mr and Mrs James Dalasia...
Bwana awabariki watumishi kwa utumishi wenu pale cvc💯💯🙏🙏
2026-11-10 17:59:59
3
shufaayasini :
Hii kanisa inanibariki sana hasa waimbji wake mnanyimbo nzuri sana, huyo maadam aliyekua anaongoza hii nyimbo akiimba kuna kitu nasikia kwa moyo. Huu wimbo ukiimba kwa utulivu ndani ya moyo kuna kitu unafil, unaona Yesu huyu hapa anakuja
2026-11-11 08:09:35
2
Yunahorg :
Hii ilikua lin jamn🤦🏽♀️😩
2026-11-11 19:37:19
1
jath💐 :
My mama Diana😍😍
2026-11-10 18:20:43
1
mayaVivian :
sana
2026-11-11 19:06:42
0
Prosper Milio :
jamani mm sijapata bahati ya kuwaona live hawa watumishi ila nina zawadi ya huyo dada tangu nilipoanza kusikiliza natamani imfikie huyo dada muimbaji
2026-11-11 17:57:29
0
gloriousfortunata :
kuchukua kanisa🥰🥰🥰🥰
2026-11-13 17:30:28
0
sarah_benard :
kwa yesu amna mzee
2026-11-12 17:11:02
0
Pst Francis Ngali :
namuona mardam DIANA
2026-11-13 05:32:49
0
masheuty :
mama Diana kwa ubora wake
2026-11-11 22:39:42
1
LA VOIX DE L'ENFANT :
hii choir na ipenda saana, mungu awa bariki toka congo
2026-11-10 19:18:09
0
To see more videos from user @aictchangombe_choir, please go to the Tikwm
homepage.