@7maatrending: Sasa wazee wanapeana vijembe sisi vijana tunajifunza nini😭ila mjue hawa wazee ndo wametuzaa Genz😂yani ni wababa wa Genz🤣🤣 #maasaitiktokers

Maa_trending
Maa_trending
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 10 November 2026 15:57:59 GMT
8125
479
71
37

Music

Download

Comments

shedrack1482
shedrack :
wazeee wamechangamkaa kuliko vijana[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-10 21:29:55
1
ayubu12.3
Ayubu💫 :
Naanza kuona kua kariakoo Hana makosa kabic
2026-11-10 17:10:03
2
yona35231
Ymalumbuja :
Both team to score 🙏🙏🙏
2026-11-11 08:39:32
0
keyvoo454444
Keyvoo 1 Tz :
Father usitangaze mali zako hazarani huwajui wabaya wako
2026-11-10 21:37:35
1
samweliokeshukalaita
ole megwera masai :
wazee wa mtandaoni waonyeshana kazi zao ? mbona wazee wengine hawaelezani vipato vyao ? nyie mbona mnatambiana je wote mnaweza sema hivyo mlivo navyo mnaweza kutuambia mmevipataje ? Acheni kusemana
2026-11-10 16:21:34
1
neysmile6
Emosilyani 😍 :
nilitaka nikupgie simuu😂😂😂😂😂
2026-11-10 16:06:14
2
smaynoeltyga
El TYGA :
me napuliza bwana 😀
2026-11-10 21:08:45
0
yonahmzindakaya54
Yona⭐ Star ♤ star :
Kimeumana😂😂😂
2026-11-11 05:26:35
1
upendofaustinmass
UPendo Massawe :
Baba kariakoo natambua uwepo wako sana 😂😂😂
2026-11-10 20:35:43
2
sumenolungido
Sumeno Lungido :
wazee ninyi ni kioo Cha jamii kwaio tafsiri inayofika kwa jamii ni mbaya sana na kutofautiana kwa mitazamo ipo ila msiweke kwa mitandao
2026-11-11 10:04:03
0
aloyce.njayo
ole NJAYO :
wazee wetu sisi wapigano yenu tunasema nyinyi umefika sehemu mbaya sana ambayo haitawezekana hili jambo lenu malizeni nje ya ya mtandao ya kijamii hebu acheni bwana😭😭😭😭
2026-11-11 09:48:18
0
ms.nanah.backup
Nanah&Chico🐾 :
2026-11-10 18:30:49
1
moringe.jeremia
Jr boy ⭐️🇹🇿&🇰🇪 :
Jua la alinino November linaanza kazi fichueni Kila kitu tujue kabla mwaka hauja isha🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-10 16:57:00
1
mason.kuniya
Mason Kuniya :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wazee taratibu mbona mnataka kuishi maisha yetu ya ukisasa.hebu tulieni mcheze na wajukuu😂😂😂
2026-11-11 08:32:04
0
lera.kalaita.miko
Lera Kalaita Mikoki :
Kaka Zangu Msigombane Ninyi ni Ndugu Myamalize Mezani Myajenge. 👏
2026-11-11 08:01:00
0
kili_mpole
kili_mpole :
pole pole wazee wangu jengeni wenyewe msiyaweke mtandaoni duuu asee
2026-11-10 17:10:00
1
kinayamo8
kinaya moringe :
etaaa
2026-11-10 18:10:28
1
user8180058344439
single boy 77 :
mmmmmmh
2026-11-10 16:02:31
0
hoz.boy3
Hoz boy 🎵🇹🇿 :
mimi sisemi kitu maana uku ni mtandao ila 😁😁😅🥺
2026-11-11 04:40:41
0
simon.yona5
MAHATI TV :
2026-11-11 01:08:08
0
kakole.mbaraka5
Kakole Mbaraka :
Huyo mzee amewakosea sana jamii nzima za kimasai maana baada ya kuwarudishia watoto nguo anawavua nguo Papa Lengulee pambana baba wasikukatishe tamaaa na hicho brand uliyo anzisha wavalishe watoto wako nguo
2026-11-11 11:32:05
0
laizakimalokileli
Laiza Stefano :
Du
2026-11-11 10:45:23
0
frenkgalila
barotel.8 :
kaz ipo mwaka huu wazee kuludi ujana
2026-11-11 06:25:27
0
mr.sholaa712
2️⃣MR•SHOLAA :
tujitahidi san kutafuta badae tutazalilika kukosa vipato 😁😁😁
2026-11-11 04:37:31
0
chossa.mlinde4
𝐊𝐋. mlinde :
𝒚𝒖𝒑𝒐𝒐𝒐𝒐𝒐𝒐𝒐𝒐
2026-11-10 16:04:20
0
To see more videos from user @7maatrending, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About