@millardayo_: Mzee Alute Mughwai, Kaka wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amezikwa leo, Novemba 10, 2026, katika makaburi ya familia yaliyopo Kijiji cha Mahambe, Wilaya ya Ikungi, mkoani Singida. Mazishi hayo yamehudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa Vyama vya Siasa, Viongozi wa Serikali, Mawakili, Ndugu, Jamaa na Marafiki waliojitokeza kumpumzisha Mzee Alute katika Makazi yake ya milele. Mzee Alute alifariki dunia Novemba 1, 2026, katika Hospitali ya Selian, Jijini Arusha. #MillardAyoUPDATES

millardayo
millardayo
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 10 November 2026 15:58:22 GMT
9822
297
7
2

Music

Download

Comments

kugwe47
ঔ𝐈𝐓s 𝐊𝐔𝐆𝐖𝐄⁴⁷🫰 :
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU 🕊️MAHALI PEMA PEPONI AMEEEN
2026-11-10 16:07:24
2
mr_p_18
Mr P :
Roho ya marehem ilazwe mahala pema peponi.
2026-11-10 16:02:56
2
iamissablack
Issa Black :
Hapo hutaona msanii wa bongo movie wala Music ila alipokufa mume wa Mama kizimkazi sote tulijionea. Kwamba wasanii hawamjuwi Tundu Lissu na mchango wake kwenye taifa hili?
2026-11-10 16:23:42
1
songoroflorah
Songoro Maua :
polen sana Familia Mungu awatie nguvu
2026-11-10 16:03:57
1
urgirlyussy
يُسرى𐙚 :
2026-11-10 16:00:52
1
mamynailah7
nailahmamy :
so sad 😭🥹😭
2026-11-10 16:04:15
1
mgulatz
MgulaTZ :
Pole kwa familia
2026-11-10 16:27:43
0
razaq_rihaad
Rihad jr :
duuuh pole sana
2026-11-10 16:01:57
1
user760105007
😏 :
So sad
2026-11-10 16:51:41
0
usnagroup1
user22997576409 :
tunaongalia sa mbili like apa 🥺
2026-11-10 16:33:08
1
danielamos1477
olenaha keleya788 :
🫡🫡🫡🫡🫡🫡[Pray]
2026-11-10 16:08:09
0
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About