@gemadeo:

Kimodo store
Kimodo store
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 10 November 2026 15:59:24 GMT
47664
3104
548
167

Music

Download

Comments

abubakarseleman24
mawigi :
ww ndo umeogea ukweli
2026-11-10 18:07:22
243
b_erly255
Mss.Irene🌹 :
Na guest house zinazoingiza wanafunzi zifungiwe
2026-11-10 20:07:36
97
kadari09
kadari :
kweli hawa watoto sikuhiz wanatuzidi Ubunifu 😂
2026-11-10 19:54:27
58
saraphinayohana39
phina🦋🌷 :
kwnz mahusiano shuleni jmn au me ndo nilikuwaga mshamba🥹
2026-11-10 20:21:22
70
esther_sweetcakes
esther_sweet&delicious_cakes :
taratibu za afya zinawaruhusu kuanzia miaka 13 anatakiwa kutumia family planning
2026-11-11 03:41:48
40
var_online_store
VAR ONLINE STORE :
wanafunzi wenyewe mafundi balaa mpaka watu wanzima tuna jifunza vitu kutoka kwao🤣🤣🤣
2026-11-10 19:47:48
34
jijison51
Bupilipili :
ww unafaa kuwa kiongozi wa hii nchi lakin huna kibali tu
2026-11-10 19:13:26
41
i_am_hassankaoneka_007
K.A.O.N.E.K.A 🖐 :
Dada naomba waanze na shule za kata za Dar es salaam 😂🙌
2026-11-11 07:31:04
5
latifah.hamis
tiffah :
Dunia Inaenda Kasi sana najishangaa mim Hadi umri huu hata kijiti sijawahi kukiona
2026-11-11 07:58:59
6
user2407366344870
Mom JB :
ni haki yao kutumia jamani
2026-11-10 20:07:10
14
ladygallah
Hellen Betwel🤎 :
You can’t be careful enough just pray that it doesn’t happen to you ‼️
2026-11-11 08:42:43
1
ney.beauty71
ney beauty :
Sasa wewe asipoweka iyo njiti atafokiaje lengo au unataka tu tuanze kuokota watoto ovyo mtaani nawanaozurura mtaani watakuwa wengi njiti sio tatizo ni faida kwao pia kuepusha madhara zaidi
2026-11-11 04:52:57
7
copyloom
BaNtu Soul :
hiyo ni kazi ya walimu sio serikali
2026-11-10 19:11:35
8
captain_scott099
Captain_Scott :
na sikuizi wababa tunarubuniwa na wanafunzi
2026-11-10 18:59:13
13
ljstore_95
ljstore_95 :
Hlow dear as per sera ya nchi upande wa reproductive health ,…as moja ya prevention ya teenage pregnancy kuna muongozo to why wanafunzwa njia za kujikinga ua magonjwa ya zinaa,mimba za utotoni,hedhi salama pamoja na kujitambua kiujumla sheria zimewekwa zikiwepo zile za kwa mba iwapo unakutwa upo na mahusiano na mwanafunzi basi ni jela na mostly mihemko yao huja na ushawishi kutoka kwa hao wanaume so they are trying to control the route cause muhimu tuzidi kujitahidi kwenye malezi na kuomba mungu
2026-11-10 20:09:25
8
busgametanzania
GAME BUS STORE™ :
Asante sister
2026-11-10 21:26:57
0
julians.anselmi
Julians Anselmi :
Teally
2026-11-11 06:08:30
0
emmanuelcharles371
Charles des 26 :
Congrats🤝, umeongea point?
2026-11-11 03:27:01
1
officialbilltz_
It's Billie :
zaman wanafunzi walirubuniwa lakini saivi wao ndo wanaturubuni
2026-11-10 20:19:58
35
catherine_kweka
Catherine Kweka :
Weeeee wapo wengi wanaweka vijiti jmn watoto jmn jmn .
2026-11-10 19:25:59
8
johnchumvi739
Guillermo :
Na demu wangu anacho bhana na mama ake anajua
2026-11-10 19:26:04
6
pewicoltd
Peter Elias :
barikiwa sana hizo point ndizo nazitaka! watu wanakurupukia juu juu tu bila kuchimbua mzizi.
2026-11-10 18:59:07
5
pendeza.na.qally
Pendeza na Qally breezy :
mimi maoni yangu serikali iweke sheria ya kukagua bikra mashuleni ili wachuliwe hatua wote
2026-11-11 07:26:36
1
nessyofficial6
Nessy-Official🥰💎 :
afu kuna wazazi wanaona kawaida kbsa wengine wanasema hadharani me mwanangu akivunja tu ungo namuwekea kijiti🥺🥺🥺so sad mbona sisi tumekua vzr jmn mtu unamaliza ad 4m4 hujui mwanaume wala mapenzi,kwann sasa ivi yan wazazi tumekua wavivu kwenye malezi afu kazi kulaumu walimu na serikali emu tuongee na hawa watoto ikibidi tuwe wakali kbsa hawa mabinti bado wadogo...unakuta binti wa miaka 16 anamabwana wa4 🙆‍♂️wengine juzi wanamaliza shule wanasema ficheni mabwana zenu kwakujiamini kabisa tena kwenye mitandao.jamani emu tuwe karibu na watoto me nataka ad kulia jamani.🥺🥺🥺tulee watoto wetu jamani tulee watoto wetu heee tusitegemee watu kutulele watoto jaman tule watoto.wetu
2026-11-11 08:48:46
1
aggy_charlz
KUCHI🐤🎧🎤 :
me nipo mtaan na situmii family planning yeyote
2026-11-11 04:08:03
0
To see more videos from user @gemadeo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About