@mkauma48: Hivi unajua kwamba wabara wanaamini kila anae toka coast anajua kiswahili? 🤣 ipo siku tutashndwa kuwa vumilia 🤣 #kenyaningulf🇰🇪🇶🇦🇧🇭🇸🇦🇦🇪onelove #mijikendatiktok #mkauma48 #giriamatiktok #giriama
Mimi nashukuru kwa sabababu 🫣🫣😅😅
Hiyo bunge ya kilifi, na wawo ajeni mandokuja na chakula ,mimi na shukuru kubwa🙏🙌
Kwavizho bunge ya kilifi itende kazi saidhia wanaichi a Bofu ,naitwa Kahonzi Kahindhi Kalu mimi kijiji cha Bofu CHAURURO😅😅