mm aki naongeleshwa yawa ata kama ako kwa kichaka nitacall atashika na ataniambia mama walai this time si ya kuongea wait kiasi aki nampenda bure aki woyeee mungu nilindie yya aki
2026-11-10 18:31:10
1
joylucy :
na wewe
2026-11-11 12:18:15
0
Nancy😻Ally :
sasa ulikua uniseme jameni 😁😁😁
2026-11-10 16:15:09
0
✨Knight💫💕 :
na online anafanya nn
2026-11-11 13:45:25
0
black Godess :
True waambie
2026-11-10 16:18:19
0
TerryN :
point taken
2026-11-10 16:14:17
0
🎀Brigid🎀🎀❣️ :
situation now.....ako lamu niambie
2026-11-12 07:33:00
0
baby gal 2 :
wangu ako mission na ananikol almost everyday
network tu ndio shida
2026-11-12 11:42:56
0
Prudy 💜💜💜 :
tell them
2026-11-10 17:48:47
0
𝗮𝗯𝘂𝗷𝘂 😘 :
2026-11-10 18:52:28
0
princess G :
wangu ako congo but kila time ni voice inabidi nikae na simu karibu 🥰🥰 love kababa 🥰🥰💋.
2026-11-11 10:46:16
0
sasha beib :
ukweli kabisa
2026-11-11 08:04:58
0
zubbyzubz :
Busy Enough not to reply the text but updates status
2026-11-10 16:19:34
1
@ lydiawino2 :
aki wangu ako Somalia but siku Haiwezi Isha bila kuongea lazima apige video call...
2026-11-10 16:23:47
0
Mrs Olwenya 🪖 :
c wote kamam busy how from morning to jioni no man ako busy kwa mtu anapenda na anapost ama kuview status
2026-11-11 00:40:47
0
sozhoo💞💞 :
wangu yuko n.mwez nyumbn juz namuuliz kwan unaend job when weeh vile alijibu ety umesinywa kuniona au waona nkuchunguza ..🙄nikamwambia apan umekaa sana home akasem eeeh ..nimekaa sana kun wengin bwana zao wankuj 1wek home zingine wanamlizia kwa maside chick unatak niwe ivyoo😂..bado niko sana au watak ..uhuruu weeh adi nikaomba msamaha ju aliuliz mbona waulizia siku y kurud job
2026-11-12 13:51:27
0
maria kk :
na huyu mwenye anasema ety ako somalia and then ukitext ako online siku zote jamani simuoni poa
2026-11-11 06:17:10
0
it's Dee❤️❤️💞 :
wenye wako somalia they are free nakuambia maybe congo😂😂 n mniombee Mimi
2026-11-10 21:45:47
0
To see more videos from user @fahhlove5, please go to the Tikwm
homepage.