@ntvkenya: Watu wanane wauliwa na Al-shabaab. Wamo polisi wawili wa akiba na wafanyakazi wa barabara. Washambuliaji walifunga njia na kufyatua risasi, Mandera. Wafyatua risasi kwenye gari lililokuwa likitoa ulinzi. #NTVJioni
ntvkenya
Region: KE
Tuesday 10 November 2026 16:08:28 GMT
Music
Download
Comments
Ouma Madara :
Murkomen is busy insulting Sifuna
2026-11-10 16:44:11
53
Gladys :
al shabab uwa wanataka nini if i may ask
2026-11-10 17:05:46
9
canadian423 :
Si nilithani Al shabab walitucut off,kumbe bado wako😳😳
2026-11-10 16:39:59
25
Daktari🧑⚕️🩺Mkuu :
uchaguzi umekaribia sasa tushaanza kusikia story za Al shabaab ...
2026-11-10 16:19:50
20
ImanMzitohGituathi(I.M.G) :
Riggy G alisema Al shabab wanazidi kuingia Kenya,lakini madharau sana nyie watu
2026-11-10 17:47:44
13
J6 :
na mambo bado kasongo alisha fungua border
2026-11-10 18:26:40
5
Hoyoo mcn :
Iam so sad
2026-11-10 19:28:40
0
Samuel Ngugi :
nko huku na naogopa sana
2026-11-10 17:40:15
3
Menya CIA ku :
mlisema Kenya ni ya kila mtu😳😡💔😭
2026-11-10 20:50:13
0
black ice :
mambo za December do ayo
2026-11-10 17:50:53
3
Prince Abdize :
Pole to the families who have lost their loved ones
2026-11-10 17:43:45
2
maina baba :
How many will be enough for Security to be taken seriously 😣
2026-11-10 17:44:48
2
Peshy❤️❤️ :
Niko kutu guys
2026-11-10 19:51:37
1
M+M :
2026-11-10 17:22:03
4
breezy :
Siasa zikikaribia tunasiki Al shabab
2026-11-10 17:47:06
3
josephbond001 :
wapi duale
2026-11-10 16:26:34
5
Val 🇱🇷🇰🇪 :
Anayehusika na usalama yuko kwenye siasa
2026-11-10 17:31:11
2
I AM WHO I AM :
kimewaramba,Kenya hamna bahati
2026-11-10 17:54:56
3
*ųɗĥęîqĥª :
Alshabab are everywhere in this country and government are just watching
2026-11-10 16:53:31
4
user6590061474388 :
security wako busy huku Kwa soko na watu wanawawa
2026-11-10 18:28:02
1
blaqbone 🇰🇪 :
duale negotiating
2026-11-10 17:18:25
1
Ann kendi :
hijo ni mbaya aki
2026-11-10 17:29:36
0
Izaah hope 🦅🦋 :
8 not seven
2026-11-10 19:19:55
0
Opposition leader :
Hii yote serikali hawataki kujua😏😏😏 haja yao ni two term coz of tamaa ya uongozi🙄🙄🙄 mashetani tu
2026-11-10 19:39:40
0
somali. man 👨 🇸🇴🇸🇴 🐐☠️ :
kdf hawa fanye kazi bowana ah
2026-11-10 19:11:12
0
To see more videos from user @ntvkenya, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.