@shehk.njiku.backu:

SHEHK NJIKU backup
SHEHK NJIKU backup
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 10 November 2026 16:28:49 GMT
223502
9109
361
1028

Music

Download

Comments

shufaa.rajabu82
shufaa rajabu :
mm naota mpka roho inaniuma ndotoni.
2026-11-10 20:14:17
80
adya_mtunchya
MTURUKI from singapal :
mimi hapa naotaga sana jamani na inakuwaga kweli
2026-11-10 19:48:12
35
melkiormassawe
Mrs Hassan fadhili :
Ata mm nimepata izi ndoto San ila nikifatilia ni kweli anae michepuko
2026-11-11 05:57:36
72
user3767062461926
Radhia ally :
mm mpka namba huwa naletewa na nikiifwatilia ni kweli
2026-11-11 20:04:47
14
_hammy_lee
🌸hammy🌸lee🌸 :
Mimi naota sana jmn mpk nalia ndoton na nikiamka nalia kwel hadi moyo unauma
2026-11-10 22:50:00
18
dasko.fashion
Dasko Fashion :
nyengine ndoto za uchonganishi kuna wengine wanamajini wabaya wanajaribu kuaribu ndoa mana hata mimi mke wangu anaota mara kwa mara nina mahusiano na nimeoa ila kiukweli wa nafsi yangu sina hata demu nnje ila yeye kila siku anaota
2026-11-10 21:00:36
11
bintmwelek
ZuuCutelisous :
Niliwahi kuota mume amenisaliti na Binti Ambay Namjua Kabisa lkn mume nikamsimulia Akakataa lkn siku Yake Mungu akamuumbua nikawafuma dhahili 🥹🥹🥹Yaan ndoto zng zinakua kweli
2026-11-10 21:36:02
14
blandinaalmas1
Blandina Almas :
mm nilimuota mume wangu na mdogo wangu nikafuatilia sijapata chochote sijui shida nn
2026-11-13 18:50:10
2
officialdeeja5
haitham :
mm sio mume ni hawara tu naota
2026-11-15 09:08:22
1
beautgirl44
baby girl😘 :
weee mimi niliota hadi roho ili niuma wik nzima amani sina yn
2026-11-11 07:58:42
0
mamyakep21
mamyakep21 :
Mume wangu ananiita mchawi kisa nikiota inakuwa kwel
2026-11-13 21:29:55
0
mamtu310
🦋lasty🔥❤️ :
mm nikiota yuanambia nina mambo yangu
2026-11-14 20:13:54
1
ria.beib5
ria beib :
mm mwenyewe Niko hivyo hivyo
2026-11-12 15:38:29
4
jacquelinerajab2
Jacqueline :
Atajua mwenyewe
2026-11-11 12:25:20
6
violeth2942
violeth :
ndoto zangu hizo
2026-11-10 19:07:17
6
salmanassor951
Chammy :
mie naota mara kwa mara ndoto hzo mpaka naogopa
2026-11-10 17:38:14
6
mamy.vinah.collect
mamy vinah collection :
Huyu ni mimi kabsa
2026-11-12 20:47:20
0
minwii1
Minwii :
2026-11-11 14:45:17
1
beravina.recho
Beravina Recho :
mimi huyu namuota sana na ninajua anayafanya na michepuko kama yote ila Mungu atajua cha kumuadhibu Acha nitulie tu
2026-11-11 14:06:28
3
mosses.mash
mosses.mash :
🙏🏻🙏🏻
2026-11-11 12:28:13
1
usero690091751
monica ndega🥰💕 :
Mimi Naota Sana jamn
2026-11-12 13:44:58
1
marry24939
marry :
huyo n mm kabsaaa nikiota lazma itakua kwel nikifatilia
2026-11-11 18:26:31
3
zeinaby91
zena :
Mimi niliota na kumbe ni kweli
2026-11-11 06:18:57
4
ruthgichuru71
ruthgichuru71 :
sijawahi kupata mawaidha ya maana kama haya.. shukran shekh
2026-11-11 07:14:08
4
user83522878166815
user83522878166815 Hiyamu :
mm juz tu nmemuota yupo na mwanamke, nlipo kuja kumuuliza alikataa katakata ila mungu kamuumbua n kwel alikuwa naye, saiv kawa mpole balaa
2026-11-13 11:21:33
0
To see more videos from user @shehk.njiku.backu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About