@watatiiamri: Maa hata usilie sanaaa wamefurahi sanaa wammdhulumu my brother ila hawatakuwa na furaha fiduniyah wal akhera May Allah protect you my brother wherever you are I miss you so much may we meet In Jannah yaa raab 🤲🫂😭😭😭😭😭⌚⌚💔✌️
Allah Yuko na sisi kila siku, atawaangamiza madhaalim. Allah atupe subra tutampata somo insha a Allah
2026-11-11 02:54:20
35
Mamalao… :
Allah afanyie wepesi😭😭😭 this is my grandma crying 😭😭😭😭😭😭 Inauma sana
2026-11-10 21:24:50
15
Ali Aliy :
Allah akuhifadhi bloody yngu popte ulipo 😭😭😭😭
2026-11-10 20:12:33
5
umibashir2 :
May Allah give this mum subar Yaa Rabbi Ameen
2026-11-10 20:55:21
9
Zena musa :
Allahu Aqbar Qabir
2026-11-12 04:15:30
0
user1749684412888 :
Ni mayuuu huyuu ama
2026-11-10 19:22:27
11
⭐𝑲𝒂𝒔𝒔𝒐🌴𝒅𝒂𝒔𝒊𝒍𝒗𝒂⭐ :
Allah amuhifadhi kokote alipo In Shaa Allah na awajaaliye subra familia yake.
2026-11-10 21:29:48
10
Daktari🧑⚕️🩺Mkuu :
Mimi siungi mkono Kwa kutekwa kwao lakini aminini .... ukiona mtu kashikwa basi ujue ushahidi wakuhusika kwake kwa Jambo upo, hizi simu hizi zinatuweka matukioni bila kujua, SERIKALI INATUSIKIZA
2026-11-11 10:48:44
4
️ :
because yy ni muislamu baas, mama Allah atakulipia
2026-11-10 23:30:35
5
Abdallah Abdulaziz :
HasbunaAllah Waneemal Wakeel. Allah atamtoa kwenye mikono ya wadhalimu Insha'Allah.
2026-11-10 22:30:45
5
Baba Mnyonyo :
In Sha Allah apatikane akiwa Ako salama na mzima
2026-11-10 16:36:30
6
Sarafina :
Allaah ndie Hakeem.wa Haki
2026-11-13 18:43:31
1
Amacha110 :
governor mbona hua haongei mmbo hayo ya abducted n government imezidi Mombasa we want to know ako wapi
2026-11-12 06:55:16
2
Mbarak akaka :
Allah ampe mother subra, Inauma sana kuona mother analia wallahy😭😭
2026-11-10 17:21:17
14
feelings on paper :
Allah akuhifadhi brother isma popote ulipo una radhi za mamaetu na Allah atakulipia🥺😭brother bin masuud Allah akupe subra my brother, madha 😭😭Allah atuzidishia subra na chozi lako halimwagiki bure mamangu 😭😭Yaa Allah mhifadhi na umfanyie wepesi ndugu yetu ismail popote alipo ameen yaa Rabb 😭😭🥺
2026-11-11 01:39:53
6
Babaloski Himself :
Allah Yuko nasi kwenye kila jambo .
Amini kwamba 💯 ipo siku Inshallah
2026-11-12 07:32:40
2
brother salim shop :
Yarraby turegesheeee ndugu yetuuuuu😭 naumia pia sana
2026-11-11 05:18:08
6
conquistar :
2026-11-12 18:34:57
1
meghwa :
mama umi mungu ataleta kheri yake
2026-11-12 20:22:42
1
Somoe Amani :
Jamani chozi la mama chozi la mzazi kulia na zuruma munaowafanyia waislamu wakenya tukinyamaza hali itakuwa mbaya sana MAKAFIRI USAIDIANA WAO KWA WAO KWANINI SISI WAISLAMU TUSISAIDIANE
2026-11-12 16:46:04
1
rakitic :
Si lazima Coast ibakie Kenya nasema. Coast ijitenge. Nairobi sio capital city yetu soteni. wengine we don't see it as such. Kenya haikuundwa mbinguni
2026-11-11 16:35:42
3
Aisha🌹 :
mungu amsside tu
2026-11-12 07:54:29
1
Assadullah No fear :
Allah ampe nusra alipo awape subra familia yake hu unyonge sana twaonyeshwa waislamu
2026-11-11 21:11:58
1
Ayman Dalot 👉🏼🦁👈🏻 :
Allah zaidii my brother☝🏽
2026-11-12 05:11:24
1
To see more videos from user @watatiiamri, please go to the Tikwm
homepage.