Bikira maria alikua anavaa nn broo au hakuna andiko alikua anavaa vp bikra maria
2026-11-10 18:44:42
1
Aguero Morad :
abeli umekuwa kiimani hongera sana
2026-11-10 17:20:40
8
Quran_3_19 :
Unaposema hijabu ni vazi la makahaba, umesahau kwamba Biblia yako mwenyewe katika 1 Wakorintho 11:5–6 inafundisha mwanamke kufunika kichwa wakati wa kuomba na kutoa unabii. Hata mama yake Yesu, Mariamu, katika mapokeo na sanaa za Kikristo huonyeshwa akiwa amefunika kichwa. Sasa niambie, je, kujifunika kichwa ni alama ya ukahaba au ni vazi ambalo pia linafundishwa katika ibada ya Kikristo?
2026-11-10 16:58:18
1
shaqsy05 :
sisemi kitu
2026-11-10 21:10:46
1
user9177650603493 :
This is--‐🤣
2026-11-10 17:08:03
1
Edissa Pulqueria :
iyo nikweli kaka yangu🥰🥰🥰
2026-11-10 23:39:46
0
M Kasiga :
Uko vzr kakangu na mara nyingi ndoo ukweli
2026-11-10 17:44:10
1
Omofia Kwenu :
Tafuta pesa.
2026-11-10 18:20:23
1
syly :
tell them
2026-11-10 17:03:51
1
@mr.Garissa💓💓 :
wow
2026-11-10 16:53:02
1
BLESSED WOMAN. :
ohoo
2026-11-10 17:44:49
0
Stanley's :
2026-11-10 16:48:26
1
user moibra :
haijakaaa saw hiy unatumia nguv nyingi kushawish wat wavae vimin
2026-11-10 17:18:03
1
shaametz :
bikra maria kavaa nn
2026-11-10 17:55:17
1
ShiRa :
UKU WAKE ZA WATU WAKICHIT TU ANAKUPITA APOAPO HUSIMJUE KUMBE MKEO, ANALUJA FENS LILE VAZ SIO ZULI
2026-11-10 19:05:21
2
kennah03m :
si uliwaona watoto walipomalizaa mitihanii???
2026-11-10 18:10:46
2
cecy :
ni kweli kaka mimi nimeona kwa macho yangu hao wanaovaa nakujiuza
2026-11-10 19:39:54
1
mama G1 :
tuna wakumbusha tu 😂😂😂
2026-11-10 16:55:14
1
Joshua Evakri :
💯
2026-11-10 17:26:20
1
user1267505965978 :
💯💯💯💯💯💯💯
2026-11-10 22:50:24
0
To see more videos from user @shiliwaabel, please go to the Tikwm
homepage.