@boilee_: sio rahisi ku msahau mtu uliempenda💔#boileetips #viral #fyp#tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya

Boi Lee
Boi Lee
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 10 November 2026 16:37:41 GMT
37278
3439
127
155

Music

Download

Comments

sasha96318
Tarsha🥰 :
kwani tiktok inajua nimeachwa🤣🥺 kila niki scrow ni kuachwa tu
2026-11-10 18:40:47
37
officialstammy0
Officially Tammy 🌹 :
Mim mapenzi stak Tena nimeshindwa
2026-11-10 18:39:19
18
hazlababy2
hazla baby 💖 :
ananipotetezea mpk naona bora nisinge mjuwa[Teary eyed][Teary eyed]
2026-11-11 03:12:33
0
sabiana310
Mrs paschal sb 💍 👸♋ :
Yani ni mtihani 🙌 mahusiano
2026-11-10 17:06:51
3
samwel.masunga20
Samwel Masunga :
2lioachwa kama mmi nip hapa
2026-11-10 17:40:10
15
miss_maita
miss maya :
yaan me naumia sana siwezi jaaman ila hainajinsi Leo nisiku ya 5 hatujaingea Wala kuchati ila inauma sana 🙌🙌
2026-11-10 18:08:02
3
01eed7
01eed7🔥✨ :
😭😭😭😭 nyie tumetofautian me bd inaniuma sana alaf sas daaah marafk zake ndo wanaanz kunisumbua till now unapit hat mwez sina wa kuongea nae kweny cm nmeamua to kua single mana toka tumeachana naona nachezewa tu na wengn nna maumiv vby mno 😭😭😭😭
2026-11-10 19:15:20
2
mj450632
MAMA Q :
Kaka inauma usielezee sana 😭😭😭😭
2026-11-10 19:07:18
2
allyngakina
allyngakina :
unaeza msahau vzr tu , , chamsingi ## ZINGATIA kina cha upendo unao zama leo ni maumiv utakayo yapata kesho , take care
2026-11-10 19:34:43
4
omarsalum479
Omar Salum479 :
Daaah alikuwa ni mke wangu alafu mmshkaji wangu alafu mtani wangu alafu chepe mwenzangu daaah NAIFEEN😭😭😭😭😭
2026-11-10 19:35:43
0
mwijaku967
sqees"96☠ :
kuna mda nakuwa najichekesha tuu,bila sababu ili nijisaaulishe ila badooo😭
2026-11-10 18:53:57
3
happy51929
happy :
wew acha tuu kaka ndo nayopitia saiz najikaza rakin wapii naishia kukonda nakuria😭😭
2026-11-10 18:59:08
3
user538123419651
Raacute🥰 :
inauma hd sio poa kosa tu kumuuliz swali anachukua advantage ya kukuach😢 ila mapenz hapan
2026-11-10 19:33:30
0
gody66998gmail.com0
💫Star boy ✨ :
Kak hata Mimi yamenikut 😭😭inauma san siwezi jman
2026-11-10 20:42:31
0
its_momo_43
Mis_Momo :
kinachoumiza zaidi ni kumbukizii😭😭nauguzA kidonda cha moyo kwa sasa..
2026-11-10 20:19:52
1
yusufu.lusendera
KING :
unaweza kana ty
2026-11-10 21:39:41
1
aste.aste8
aste Aste 💗 :
nisha kubali tayar
2026-11-10 20:18:42
1
bignice146
Big nice 🥷👹😈 :
🥺🥺🥺🥺🥺
2026-11-10 16:48:05
1
stanley.benedict3
Stanley benedict :
nikweli kak naomb unitengenezee moja kwa mtu ambay huwez kumsahau 🥺🥹😭
2026-11-10 18:50:55
1
realhonk2
🫦🌸Real honk🦋🎀 :
Furaha yangu CHAT GPT nikiwaona wapendanao 🥲
2026-11-10 20:39:08
1
farajaleokufyeka
Faraja Leo Kufyeka :
umenisaidia sana we mkaka
2026-11-10 16:42:00
1
sonone.mw1
SON ONE MW. :
kwa heshima famliya
2026-11-10 16:48:04
0
diksoni10
diksoni :
1:18 tujuane😂
2026-11-10 22:17:51
0
user6623636835225
Morgan skelly :
saizi mmmm 🤣🤣🤣haipo kwangu bali itabidii ukubaliane na hali
2026-11-10 22:06:35
0
cactus.52
📿C.a.c.t.u.s🌵🌴🇯🇲 :
walai mapenzi blanda...
2026-11-11 01:45:48
0
To see more videos from user @boilee_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About