@beckafundiumeme: Angalia hii Video jinsi ya Kufunga controll starter ya Direct ON Line(D.O.L Starter.. SHARE,COMENTS NA save kwa baadae hii video itakufaa sana kujifunza..
Becka Fundi Umeme
Region: TZ
Tuesday 10 November 2026 16:39:25 GMT
Music
Download
Comments
@Jackson Mulamula :
EPU (ELECTRICAL POWER UTILIZATION) naamini one day maarifa nilio nayo ntapata pakuyatumia.
2026-11-10 16:57:21
1
wisdom benny :
tunaomba somo la foward reverse
2026-11-12 10:07:14
1
Back❤️♥️ :
kwamba unaweza ukafanya hivyo huku ukiwa umeme umewashwa
2026-11-11 04:09:11
1
Mikidadi Waya :
nimeipenda kazi yako brother natamani kufanya kazi nawewe namimi nifundi umeme wamajumbani
2026-11-10 16:45:33
1
Leslie Mgimba :
dol starter naitumia kwa motor za ukubwa gani?
2026-11-10 19:28:53
0
PROSPER🎮GASPER🎮 :
umetisha Sana mkuu
2026-11-10 16:53:04
1
Baiya Ochu :
nakubal san kk kaz zako
2026-11-10 17:29:23
1
☆☆☆Lulinga Tech☆☆☆ :
Unafanya kitu kizuri san bro but hufundishi una karirisha boss
2026-11-11 05:01:56
1
Cj smart Experts :
Safii
2026-11-11 08:11:51
1
Mgavi :
bless san
2026-11-10 19:22:37
1
Back❤️♥️ :
Unaweza unakafanya kazi na umeme ukiwa upo?
2026-11-11 03:59:51
1
David Balayaz :
.
2026-11-13 18:23:24
0
@Burhan :
⚡⚡👍👍
2026-11-12 15:29:22
2
To see more videos from user @beckafundiumeme, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.