moja kati ya mitian migum nliyokutan nayo uni😂😂 the whole class atkutoboa
2026-11-10 19:54:58
4
Carlycarinoh05 :
Kwisha mm[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-10 17:04:13
0
d :
kwisha mm 0 hyoooo naiona😁
2026-11-10 22:24:16
0
cannabinho_99 :
ah mbele ya formation yangu mbn imeisha hiii
2026-11-10 17:25:40
2
rocious :
very simple
2026-11-11 12:00:27
0
Khor Abeche :
hapo najitungia maswali yang ya kila module ninayoyajua majibu yake halafu nayajibu
2026-11-11 14:44:24
1
Ben90per Arts :
mipango kuna watu waliambiwa hivo. af yakakusanywa maswali kisha wakagawana wahuku wapeleke upande wapili oyaa chumachuma
2026-11-11 20:18:20
0
Jovis j² :
hlo la pili nd gumu kuliko yote
2026-11-11 04:55:35
1
. :
nngetusua vizuri kabisa..
2026-11-10 20:24:40
1
Men2kizzy :
sas hap si najitungia tu maswali yangu kwan kuna shida gani na maswali yakiisha natafuta ya lecture mwingn 🤣🤣
2026-11-11 15:31:05
0
NEHEMIA BARAKA :
kipengele ingekuwa kuanza swali la kwanza kabla ujasoma la pili,kuna raia wangetunga mtihani ambao hata prof angapata 10
2026-11-11 12:32:19
0
Evar🫧 :
aiseeee😂😂 kingenirambaaa😅😅
2026-11-11 16:57:08
0
jecca :
yaan unaambiwa utunge mtihan the uujib iseeee
2026-11-11 08:45:57
0
A :
mm natamani iwe hivi afu waone 😂
2026-11-11 07:22:28
0
Hamyhim :
mapema tuu
2026-11-11 06:16:50
0
iddyramadhan :
2026-11-11 14:43:53
0
Thomaschambala :
hili swali linahusu mambo muhimu mawili
1.content uliopata kutoka kuzo yote (Muhimu sana uwe na nondo)
2. assesment construction
2026-11-11 09:39:13
1
kwacs mkali :
Hahaha yan hap natunga mkek uwo chart gpt mwenyew akipat 10 ajipongeze 😅 ivy yan
2026-11-11 15:35:02
0
Brilliant th :
Artificial intelligence itahusika 100%
2026-11-11 02:25:24
0
ZANG ZANG :
katika mtihani mwepesi ni pamoja na huo, yaani kikubwa uwe na content tu , iko hivi yale uliyo yasoma wewe kuhusu hilo somo ndio unaandaa maswali yako ayo maswali yawe na marks 60 utajuaje wewe utaweka maswali mangapi , utakua umejibu swali la kwanza
then yale maswali uliyo yatunga wewe unayajibu tena , hapo umejibu swali la pili.
Swali jepes kuwahi tokea duniani yaani maswali ya hivyo ni kwa malecture ambao hawataki mfeli
Yani nikama swali la kutunga shairi ENGLISH NECTA 2021.
2026-11-11 08:57:10
0
meme.03a :
TIA watujaribu siku moja hii kudadeki zao apo mchawi ni kusoma tu kama umesoma😂😂😂 yani apo natunga maswali ya multiple choice 20, hayohayo unayarudia kwenye match items ila unabadilisha kidogo 🤣🤣 alafu namalizia na True and False 🤣🤣 nikitoka hapo nakuja kujibu yote shwaa nakusanya natoka
2026-11-11 08:48:57
0
ozz the great :
that paper is the easiest paper you choose the question and answer them hahaha lecture is lazy
2026-11-11 12:14:10
0
John Masala778 :
very simple question maybe kama ulikua uhudhulii lectur
2026-11-11 11:35:16
0
Titus :
✅✅✅
2026-11-10 20:00:57
0
To see more videos from user @wi_celebrities, please go to the Tikwm
homepage.