@drgreysonbabishomba: #onthisday

Profesa Greyson Babishomba
Profesa Greyson Babishomba
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 10 November 2026 16:47:35 GMT
168831
3319
153
684

Music

Download

Comments

mwldaniellambert1
Mwl Daniel :
Hata siku moja usimshauri mwanao kusoma kupitiliza ni hatariiii kwa Afya ya akili😂😂
2026-11-10 17:30:18
55
silviagustavo4
silviagustavo❤️ :
ni kweli kabisa,, ukiona mwili haupo sawa au miguu inawaka moto tembea peku peku utapata nafuu
2026-11-10 20:26:52
8
5emmanuel78
Emmanuel singija 78 :
huu ushauli nitauunga mkono kabla sijapa hela ila nikizipata mimi sio mwenzako
2026-11-10 17:53:44
16
ramos.willy7
Limited Edition. :
N kwel pia kula kutumia mkono bila kijiko n jambo zuri kiafya
2026-11-15 07:05:50
2
kami.dax.tz
Kami Dax Tz :
mimi nae kutwa na viatu😂😂
2026-11-10 19:07:13
3
eddy_videographer
Eddy :
Naenda kung'oa tiles zote nyumbani 🚶‍♂️🚶‍♂️🫣
2026-11-11 01:06:21
4
miriamlagat748
Miriam Lagat :
ni ukweli Kaka ata Mimi niliwambia hivyo na dactari nilikuwa naumwa na mguu
2026-11-13 04:59:02
1
mc.mga
MC.Mga :
elimu ni hatari sana
2026-11-14 06:12:04
0
mbishij
#mbishiJ :
umefikia wapi lile ombi letu la kutusamehe mzee baba[Tears of joy]
2026-11-10 19:13:18
2
user3303757025060
@silvi254 :
this guy explained it is swahili it didn't sound serious
2026-11-11 06:36:57
1
suleimanidaudi5
Suleimani Daudi :
Jambo ambalo ulikua hulijui kiongoz ni kwamba na ukutani nimeweka tailiz,
2026-11-14 06:20:38
0
displaygasper
Display Gasper :
wataalamu wa umeme tunaunga mkono hoja hii
2026-11-11 04:10:43
6
saturnv1969
😇🫡🇹🇿Saturn-V-1969💪🛣🚎✍️ :
Sahihi dokta
2026-11-15 20:09:59
1
omariking8888
omarking9852 :
Ni kweli kabisa doctor, mim kwangu natembea ukutani, nisije nikakanyaga tiles niishi muda mrefu
2026-11-14 20:46:39
1
catherine_kweka
Catherine Kweka :
Ndio maana mimi navaa ndala na nisipovaa ndala naumia unyayo
2026-11-10 19:52:33
4
upendodismasi
upendodismasi :
dokta nimeanza kutembea kama buibui🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-11-11 09:42:52
2
zuhura.suleiman1
Zuhura Suleiman :
mimi nina uxhuhuda
2026-11-10 19:15:13
4
vichwa.vya.arusha
vichWa.vya.Arusha :
kwelii kabsa
2026-11-10 20:00:53
1
innosenti.johni
innosenti johni :
asante
2026-11-10 18:37:10
3
frank.juma21
Frank Juma :
punguzeni ushauri mnanichanganya..
2026-11-11 13:43:32
1
simba1_star
SIMBA_STAR🌟 :
nachoshukuru mm nakimbiaga peku mazoezini
2026-11-11 06:11:54
2
salmaaflica
salma Africa 🇹🇿 :
mi kumbuki mala ya mwisho kukanyaga udongo😂😂😂
2026-11-10 20:24:21
3
obyoomtupesa
Obyoo Mtupesa :
kwr
2026-11-10 19:54:10
1
jonijomichael
jonijomichael :
good
2026-11-10 19:26:43
1
saidmwinyi40
🌹☆captain☆🌹 :
ilaa uyuu jamaa ukimsikiliza tu mwanzon utafulahi 😅😅😅😅
2026-11-11 16:25:21
1
To see more videos from user @drgreysonbabishomba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About