@methuselah.bimbig: Mungu bado ni Mfinyanzi, na sisi ni udongo mikononi mwake. Hata kama maisha yametuumiza au kutubadilisha, mikono yake bado ina uwezo wa kututengeneza upya. Usikate tamaa, bado Mungu anaendelea na kazi yake ndani yako. 🙏❤️ #MunguNiMfinyanzi #Yeremia18 #MikonoYaMungu #ImaniKwaMungu #TikTokGospel