me nataman sana kua muislam ila nikitafakari mambo kama hayo! naonaga Yesu ni njia ya kweli na uzima!
2026-11-10 23:42:05
65
FAITH CRESPO ✝️ :
mungu yup yule mwalabu au
2026-11-10 19:55:36
11
Mbarouk Ali :
kamulize dcter sule
2026-11-11 17:01:47
0
S_Yildirm ♌️ :
Ndo hapo zaidi ya kumtenganisha mja na mola wake
2026-11-10 17:25:25
8
Maymur_19 :
Ni *Suratul Adh-Dhariyat, Aya ya 56*
> *وَمَا خَلَقْتُالْجِنَوَالْإِنسَإِلَا لِيَعْبُدُونِ*
> *Wa maa khalaqtul jinna wal insa illa liya'budun.*
Tafsiri: *"Na sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi."*
Aya hii ndio muhtasari wa maisha yetu yote mkuu. Kila kitu tunachofanya - kazi, kulala, kula - kikifanyika kwa nia ya Allah.
2026-11-11 06:55:26
2
🎵 :
UKRISTO NDIO DINI YA HAKI NA UZIMA
2026-11-11 11:38:58
10
Mrash... :
Hawakoo ama simu zao zimefungwa 🤔 🤔
2026-11-10 20:41:52
7
chief Mwellam :
mambo ya mtandaoni usiyalete misikitini ndugu yangu
2026-11-11 04:49:05
4
x knows :
Hata sisi tukipewa maji na mafuta imami zinashuka sana sana mafuta yakikolea tunataka tufungue na sisi makanisa yetu tupige ela
2026-11-10 20:55:03
9
Star Walker :
ayat 56 from Surah Adh-Dhariyat
﴿وَمَا خَلَقْتُالْجِنّوَالْإِنسَإِلّا لِيَعْبُدُونِ﴾
[ الذاريات: 56]
Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi.
2026-11-11 13:18:31
2
Mama Kido :
Sema mwl Mungu atakulipa kheri
2026-11-10 17:18:49
7
Khalid Mghosi :
Hio elemu nikujua kuna viumbe vimeumbwa na Mungu na hazionekani
2026-11-11 04:30:22
1
love lina MCK 28 :
wanasema jini liliubwa na mungu
2026-11-10 23:24:34
0
Abas :
hakuna anaefundisha maswalahayo
2026-11-11 09:51:11
0
Rashid Seif :
mambo yamitandaoni ndugu yngu wanatafuta riski usiyapeleke mskitini kabisa
2026-11-11 07:57:29
5
fatia :
kumbe wewe ni mkristo mmh eeeeh
2026-11-11 19:52:19
1
Gédéon :
Sasà Mungu namajini wapinawapi
2026-11-11 06:04:42
0
Pacha wamoro :
swali lako ni zuri, ila ungeuliza na wanao toa mafuta na udogo mara chumvi, kitambaa, mbaka waumini wengi wakienda kanisani kama akuna miujiza wanaona akuna Ibada vi inawasaidia nini watu kama hao, atimae eti kama mchungaji ayupo Ibada aifanyiki, sasa je wanafata kusali au miujiza ya mchungaji,? uliza na hilo usisahau
2026-11-11 05:48:37
0
sabramohamed72 :
izo zote ni elimu na zina faida ispokua hupaswi kuitumia vibaya . halfu tuambie ww kiswahil na masomo mengn mungu kasema lini usome vishaz na vitenzi. ila mungu kasema tosome jua ivo kaka
2026-11-11 16:02:50
0
Mr Mwandima. :
alafu kwa Nini wanakuwa na matusi??
2026-11-11 14:16:53
2
kujipenda muhimu :
majini Mohamed aliwasilimisha ndo mana ni ndugu za waislam kila muislam ana majini tena wanafundishwa wasiogope majini sio wabaya
2026-11-11 04:39:32
1
INNOCENT :
kwa yesu ndiyo dini
2026-11-11 12:33:19
0
Divine favor :
Kutokana na Hadithi hii na matukio mengine madogo madogo, wanachuoni (kama vile Sheikh al-Islam Ibn Taymiyyah) wanatoa miongozo ifuatayo:
1. Bila Kutaka/Kuitisha: Abu Hurayrah hakwenda kupiga ramli, hakusoma aya kinyume, wala hakufanya tambiko la kumvuta jini. Jini alikuja mwenyewe kwa sura ya mtu mhitaji.
2. Kupokea Faida/Taarifa: Jini alitoa taarifa ya kweli (kuwa Ayat al-Kursi inalinda), na Mtume ﷺ alithibitisha kuwa taarifa hiyo ni ya kweli. Hivyo, ikiwa jini atajitokeza na kutoa msaada au taarifa njema bila wewe kufanya makubaliano ya kishirikina naye, hapo hakuna dhambi kwa mwanadamu kwa sababu hukutafuta wala hukutenda haramu.
3. Mwisho wa Siku ni "Muongo": Pamoja na kwamba jini huyo alisaidia kufundisha jambo la heri, Mtume ﷺ alisisitiza sifa yao kuu: "Yeye ni muongo mkubwa." Hii ina maana kuwa hata kama amekusaidia leo bila wewe kutaka, huwezi kumwamini wala kufanya urafiki naye kwa sababu kesho atakupoteza.
Muhtasari: Hakuna dhambi ikiwa jini atakusaidia au kukulinda katika mazingira usiyoyatarajia au usiyoyaomba (kwa mfano, jini Muislamu anayeamua tu kukulinda usiku bila wewe kujua au kuomba). Lakini sheria inakataza kwa makusudi kujaribu kuanzisha mawasiliano, urafiki, au kuomba msaada wao kwani milango hiyo huleta upotevu.
2026-11-10 19:50:14
4
Jr da santos :
mbn hakuna anayejbu jaman
2026-11-10 19:14:11
3
user3929669304320 :
kawaulize walosema ivyo sasaunamuuliza nani
2026-11-10 23:30:56
1
To see more videos from user @minded_tips, please go to the Tikwm
homepage.