@azam.sport.2.hd: VIWANJANI | Msimu huu Simba SC anaenda kutafta recodi nyingine..... Lilian mukulu amesema Simba SC ina nafasi ya kusonga mbele katika hatua za Ligi za mabingwa Afrika msimu huu Iwapo itatumia vyema Uwanja wake wa nyumbani Kilichowaangusha Simba msimu uliopita Ligi ya Mabingwa nikupoteza alama nyingi katika uwanja wa nyumbani Kwa upande wa takwimu Simba SC imefika hatua ya robo finaili ya Ligi ya Mabingwa Afrika mara nne... Kwa kiwango alicho nacho sasa unaiona Simba SC ikifika hatua Gani katika Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu? #AzamsportsHD #NBCPremierLeague #nbcpremierleague #azamtv