@hassansuluhu: Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewasili katika Mji wa Antalya nchini Uturuki, leo tarehe 10 Novemba, 2026 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31). #tanzaniatiktok #turkey #genz #international #goviraltiktok♥️
Mung akuongoze mama kwa kila jambo tunakupenda sana
2026-11-10 22:34:58
2
cravenraphael :
i love Tanzania
2026-11-10 17:34:14
1
Jonathan Clement :
together
2026-11-10 18:33:27
0
Kim :
Hongera.
2026-11-10 17:37:08
1
mwalim issa :
kila la kheri mama Samia KAZI njema ishaallah
2026-11-10 18:07:24
3
yohana mtumishi wa mungu :
hongera sana mama hakika Tanzania unaiwakilisha vyema kote ulimwenguni ninakuombea sana kwa Mungu aendelee kukupa afya,nguvu,na moyo wa ushujaa kikubwa chapa kazi maneno ya watu wachache yasikuvunje moyo hata mitume na manabii walisemwa na kutukanwa lakini hawakuacha kufanya kazi waliyo itiwa hapa duniani,nawe mama Mungu amekuita kulitumikia taifa letu.KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE
2026-11-10 18:09:03
2
Binemtonzi Razaro :
pamoja sana mama
2026-11-10 17:33:52
2
nenge_comedy :
tuko pamoja🇹🇿
2026-11-10 18:10:44
2
Baraka ramadhani kibali :
Hongera bi mkubwa na tunashukuru kwa kufika salama 🙏
2026-11-10 17:34:48
2
user8807219079057 :
nyc
2026-11-10 17:33:39
1
habib al zakwan :
Masha Allah afya
2026-11-11 02:38:15
0
Mussa Abdi :
mwenyezi mungu akupe maisha malefu mama yetu samia suluhu hasani raisi wetu wa jamuhuli ya muungano wa tanzania amiin
2026-11-10 21:04:57
0
Yakubi Hassan :
kusema ukwrlii mama mfanyakazi Howard muaminifu na mchapakazi kazi na utu
2026-11-10 22:01:22
0
😶🌫️😶🌫️😶🌫️🫡🫡🫡 :
Nakuombea mama yetu mungu akulinde sana
2026-11-10 18:28:27
0
sablee Abdallah :
2026-11-10 23:46:06
0
LEMALI_17 :
🙏🙏🙏🥰🥰🥰🙏🙏🙏🥰🥰🥰🙏🙏🙏
2026-11-10 17:33:48
1
ahmatar2023 :
Kazi iendelee mama tunakupenda sana
2026-11-10 20:14:55
0
Aei ou :
Mungu akuongoze, akubariki na akulinde amiin
2026-11-11 02:53:16
0
SAMMY GIRLY :
msalimie felite
2026-11-10 20:32:58
0
Mwanaharusi Lungai :
hongela mama
2026-11-10 18:09:11
0
Poul Justin :
Mama Samia Mungu Akutunze kwa upendo wako
2026-11-10 20:26:09
0
team Tz :
tupo pamoja na mama samia oyeee 🥰🥰🥰🥰
2026-11-11 03:13:39
0
To see more videos from user @hassansuluhu, please go to the Tikwm
homepage.