@kinglee8222: #fypppppppppppppp #fypppppppppppppp #fypppppppppppppp

King🤴  khan
King🤴 khan
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 10 November 2026 17:49:43 GMT
88066
2067
277
147

Music

Download

Comments

alexnkulet
olenkulet jnr :
finally the court ruled that he will be given his money the moment he will finish paying for the damages 😭
2026-11-11 17:14:26
0
willyjano1
Jano :
anyone who can explain in English please! what's happened to the oparetor?
2026-11-11 15:11:38
0
nasri.sofa.dizaina
Nasry sofa dizaina :
alikuwa anomba kazi ndo akawa anafanya interview
2026-11-11 15:27:21
7
fantastickipundi7
fantastickipundi5 :
Uyu jamaa hasira zake kama zangu
2026-11-11 16:46:31
2
iddy.iddzo
iddy iddzo :
maamuz magumu hayaitaji vikao
2026-11-11 16:26:01
3
nambariseven
SHIJA CANADA🇨🇦🇹🇿 :
People are going through alot,mtu akifikia hii sehemu ni uuwaji ulibaki sasa.
2026-11-11 15:32:13
3
mrarmyboy06
army boy :
yan nichukue maamuz baadae nitake vikao vya kaz gan wakat ulisema nifanye nachokiweza
2026-11-11 13:18:19
6
justusmose673
Justus Mose :
I saw it coming and warned you[Starstruck]
2026-11-11 17:34:23
0
fakihi.fakihi6
Fakihi fakihi :
haiwezekani naona kila mtu ana sema atakapo lipwa pesa nawambiya hivi mtu hata akishukuwa mamuzi haya juwa hataki tena pesa ndio washa lipana hapo
2026-11-11 13:15:27
18
ms.gyy20
ms.gyy20 :
Mungu atakuwa pande wake mara sio wakwanza kufanya hivi
2026-11-11 14:03:49
3
sleem_ateeq
SLIM🇹🇿 :
pale atakapo lipwa pesa yake anayodai alafu na yy aambiwe alipe gharama hizo alizo haribu
2026-11-10 21:37:15
11
kakahabibu
kaka wa mrijo :
nimekaa jela miaka 20 nimetoka nikapambana paka nikaipata hii Kazi ilinikizi mahitaji yangu Natoka nianze hii Kazi mwezi wa 6 huu sjapata mshahara na nafanya Kazi usiku na mchana Leo nimeamua nijilipe tu
2026-11-11 13:36:38
5
herrydeule
HD MOTORS :
Nisaidien kujua mwamba kabila gani huyu
2026-11-10 21:34:51
8
underground.nipper
Power :
Ndiyo power ya hydraulic
2026-11-11 13:22:19
4
abuumzalendo
Mwanjano :
wakati mwingine chuki hutengenezwa mahali pa kazi
2026-11-11 15:37:34
2
david.z565
ᴅᴀᴠɪᴅ⚡ʜᴜsᴛʟᴇ :
maboss huwa mnazingua
2026-11-10 20:47:43
3
user1288845684912
@aga_maboss :
saf Sana kaka hata mim Hua nakua na maamuz Kam yako nikiletewa dharau
2026-11-11 14:02:57
2
www.seed
The seed of God :
the genzs we need
2026-11-11 16:20:09
0
amani.giyam
Amani Giyam :
operator hacheleweshewi mshahara nawaambiaga maboss hawaelewi 😂😂
2026-11-10 21:54:46
3
user1570830144108
mariam mwinjuma :
hii dunia kuna watu wamepinda
2026-11-11 15:29:57
1
gwandaroff
gwandaroff :
walipe watu ela zao waache zarau
2026-11-11 13:25:53
4
salufabian
Salu Fabian :
hapo nafsi yake itakua sawa
2026-11-11 16:40:28
1
ittifaq.theonance
Ittifaq Theonance :
@Ittifaq Theonance:yani uyo derev alikuwa anadai hela zake sasa kamfata boss kamweleze situation bossi akamjibu brgevecgwonvfejemwiwvbdnskegnwibbeur. yani mpaka sisi tuliumia san majibu ya boss🥺
2026-11-11 15:44:34
0
scotthopebill
scotthopebill :
Hii Bongo au Bongo land?
2026-11-11 14:43:42
2
user13387310602458
mwita familyi :
hii imetokea wapi huko
2026-11-11 10:33:58
3
To see more videos from user @kinglee8222, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About