@aictchangombe_choir: Chunga sana, usije ukaungana nao ukawa miongoni mwa walikataalo jiwe kuu la pembeni. Jumapili ijayo usikose kanisani #aicchangombechoir #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪
AIC CHANG’OMBE CHOIR (CVC)
Region: TZ
Tuesday 10 November 2026 17:49:47 GMT
Music
Download
Comments
mariammena24 :
nikisema twendeni ibadani kumwabudu Mungu hamtaki raha kama iz tunazijua sisi church girls 🥰🥰🥰
2026-11-10 19:47:39
6
Gift Sarah Ke :
my favourite soloist ❤️
2026-11-10 20:53:40
0
jath💐 :
mm siku nikija Kwa hii church nitahakikisha mwanzo mwisho ni kuchezea tu😍🕺
2026-11-10 18:23:48
1
mwakyo boy🍃🚦🇧🇻 :
Diana alienda wapi jemeni
2026-11-10 20:38:21
1
madam Diana :
nakupenda we solo
2026-11-10 19:32:25
3
Miss Yuyu🍂❤️ :
Kanisa lipo wap jamn
2026-11-10 18:51:46
0
Deborah Cosmetics :
Tunaomba location la hii church
na ibada inaanza saa ngapi jumapili
2026-11-10 18:47:06
0
Japhet_tz 190 :
jiwe 🤲🙏
2026-11-10 17:54:51
0
HUDSON JECY.EM. :
ivi nauliza nduguzangu CVC na Neema Gospel choir ni la kanisa moja
2026-11-10 19:21:42
0
Ze done :
Kumtumikia bwana raha san 🥰
2026-11-10 18:57:31
0
Salome kalulu :
ndani ya yesu ni raha sana
2026-11-10 19:47:35
0
yusuph25 :
mbarikiwe sana watumishi wa mungu kwa kaz nzur
2026-11-10 19:47:42
0
ElitwazaBJ :
vile tunge enda mbinguni kwa kuomba jmn nyie Kuna watu wangeenda bila kupingwa MUNGU awabariki San nawapendaaaaaa
2026-11-10 19:57:07
0
esausr4 :
Siku mkiimba ile nyimbo ya mkate(esau) naomb mnitag🔥🔥🙌🙌🙌
2026-11-10 19:50:47
0
martha@15 :
utukufu juu ya utukufu
2026-11-10 19:25:31
0
user5550138423532 :
Ameeen
2026-11-10 20:27:58
0
John Machiya :
ila hiii kwaya sijawah ona ni balaa sana an
2026-11-10 19:09:58
0
Tina Kidoti😍♋ :
🫰🏻🔥
2026-11-10 19:42:34
0
Bry chris :
Amen Amen
2026-11-10 18:02:48
0
user5759112322093 :
Good vibes Jiwe🔥🔥🔥🔥
2026-11-10 18:14:47
0
Sylvester :
napenda sana huu wimbo
2026-11-10 20:55:08
0
Leah@wisley :
🔥🔥🔥🔥am blessed
2026-11-10 18:44:34
0
Christina willson 7 :
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-11-10 18:31:49
0
martha 🥰🥰🥰 :
🙏🙏🙏
2026-11-10 20:03:43
0
smanyama :
[Heartwarming][Heartwarming]
2026-11-10 19:44:51
0
To see more videos from user @aictchangombe_choir, please go to the Tikwm
homepage.