Mm ni mwalimu wa madrasa ila nisiongop alhamdulillah maisha yng mazur nakaa pazur nalala pazur navaa vzr mm na mke wng
2026-11-10 19:42:37
12
sheikhhatari :
Waalimu wa Madrasa wana maisha magumu mno tena zaidi ya mno wanadhalilika mno
2026-11-10 20:27:39
14
NASIR YAHYA RICKADY :
sio kweli madrasa Sasa hivi Ada elfu Tano na Kwa uchache wa idadi haipungui wanafinzi hamsini hio pesa inapelekwa wapi???
2026-11-10 19:28:26
8
DE KANTE :
Ni Kweli walimu wa MADRASA wanamaisha MAGUMU ila wapo WACHACHE Wenye maisha MAZURI ikiwemo wew SHEIKH WALID Mimi NAKUKUMBUSHA km SHEIKH HIJA Alivyo wakumbusha Ukweli mchungu na una uma TUWASAIDIE Hawa walimu katika IMAN MUNGU SHAHIDI Nakilicho semwa ni chakweli Aaaaaamiiiin🙏🙏🙏🙏🙏
2026-11-10 20:47:55
3
Halifa jebo :
ww so mwalim we sheikhe
2026-11-10 19:45:16
1
بلاك البلون :
na mbona mwatuambia tusome aya ambazo zita tutoa kwenye umaskini mbona hamuwaambii wasome watoke kwa umaskini
2026-11-10 19:59:52
2
Said Shaaban :
Shekhe Waliid haja ongea vbya muislmu hapasw kujidhalilisha kwa umaskin alyo kua nao kwa nlvyo muelewa mm apa ana zungumzia Iman kwsababu ukiwa na TAMAA ya maisha mazur unawza uka kufuru
2026-11-10 20:11:32
2
Sadat😍 :
Iko hivi mja yeyote anaepigania dini ya allah hajawah kuwa dwalili hata siku moja allah Amsamehe huwenda aliongea kufurahisha umma tu au yeye ndo maisha yake kuna watu hawajuw kuongea kabisa
2026-11-10 20:43:45
2
Shaban Ramadhan :
Walidi usipinga mm ni mwislam ila wapi maskini saana
2026-11-10 19:57:32
0
hashilhashil82 :
sheikh Walid kwa hili umepuyanga
2026-11-10 19:56:05
4
rashidiamani3 :
kama huna cm ya bei na siyo wengine walimu wa madrasa wanapitia MAGUMU mno
2026-11-10 19:56:47
4
EOP_mapochi :
alivyoongea mm nazan ilitakiwa sasa waislam tuamke na tuwathamini hawa walimu wa madrasa
ila iwe zile zilizosajiliwa maana zitafunguliwa nyingi balaaa
2026-11-10 20:01:29
3
a.p.man :
labda aujatembea tu kweli wapo wenye maisha mazuli ila wengiwao hoi
2026-11-10 20:19:17
3
Brazilero :
Walid yupo sahihi hao walimu ambao ni madhalili kinachowaponza hawatulii madras na kufindisha sasa pesa watapataje! uchumi wanao lkn hawajiamini atimae wanazurura hovyo nakulosa kipato wanacho stahili
2026-11-10 20:21:59
2
seif_singa :
kuwadhalilisha wapi? huo ndoyo ukweli
2026-11-10 20:26:44
1
suleyman🤣 :
Shekhee Walid hapa kidogo kakosea. Walim wa madrsa wengi hawana maish mazuri kiukweli. Walimu wa serekalin tu hawan maisha mazuri na wanalipwa na srkl
2026-11-10 20:23:45
1
ghost☠️ :
anaongea kitu kinatoka moyon kama magufuli 💯
2026-11-10 20:54:13
1
ذات هيبة❣️❤️ :
Ila sikuhizi tunalipia ada kwa mwezi huwa zinaenda wap?Na ukimuita nyumbani mtt mmoja 20k mpk zaidi
2026-11-10 20:56:03
1
Khalid Zowange :
sheikh leo kidooogo tumepishana
2026-11-10 20:18:25
1
Ramah :
Shekhe wetu Leo kidg umeenda tofaut japo tunakupenda kwa ajilo ya Allah Ila Leo 🙌🙌🙌
2026-11-10 20:12:10
1
Mr mzinguaji :
ata mtume alikosea so shkhe wetu wallid hapa Leo upo wrong
2026-11-10 20:03:50
1
Al~qantara01 :
Alotengeza hii video unachonganisha watu
2026-11-10 20:15:00
1
ubaida :
nimefundisha miaka 15 sikupata hata boda nikajiongeza bieshara na kufundisha
2026-11-10 20:09:45
1
Mo Khalfan :
kwaio sheikh waleed anajifananisha na walimu wa madras😅
2026-11-10 19:51:38
1
official bakayoko :
uo ni ukwer walim dah sisi tunapewa pesa yada tunakula aifik
2026-11-10 19:39:02
1
To see more videos from user @naupenda.uislam, please go to the Tikwm
homepage.