@peter_waziri: sikiliza ujifunze

peter waziri
peter waziri
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 10 November 2026 18:42:44 GMT
72340
1362
45
896

Music

Download

Comments

nifer09
niffer ⭐✨🦁 :
😂😂😂😂😂 Mimi nitakuf vby km najiona
2026-11-11 10:37:47
3
ngichunguria
Ngichunguria :
Mbona sasa gesi ni hatari mpk tunaogopa sasa ...
2026-11-11 05:31:38
5
emmy.stephen
Emmy Stephen :
uko vizuri Sana kijana
2026-11-11 13:37:10
1
rey.kitchen.ware
rey kitchen ware :
mimi sitaki gesi kabisa chumba kimoja gesi humo humo, mara taa, mara dawa ya mmbu nimejiona najibanika kwa hilyari yangu 😂
2026-11-11 08:28:44
3
user8304460921415
grace :
Asante
2026-11-11 08:03:09
0
patrisha.tz5
patrisha Tz :
uongo
2026-11-11 12:45:52
0
nairam277
Naira❤️ :
Mm nawambiaga awaniamini hata kidogo yani kumbe cm ndogo ni hatali mm ninayo ya kilo 6 lkn naogopaga hata kupuliza dawa au ikiwa imezimwa aina shida napuliza tu mnisaidie jmn mbu ni nyingi mno
2026-11-11 08:57:04
0
user2195813982202
user2195813982202 :
Elimu kubwa sana hii✅
2026-11-10 20:23:23
3
aminamdoe955
Amina Mdoe :
kweliii kabisa dawa ya mbuu ilitutokea home
2026-11-11 03:53:26
1
user8684810633733
M💕Light ♥️🌹 :
ndo nimejua Leo ahsante
2026-11-11 14:44:56
0
odmanshuku
OdmanShuku :
Kitaaram Tunaita Spack
2026-11-10 20:36:26
1
miminibee3
💤🌼🐝bee :
umeanza kujipost
2026-11-11 14:34:14
0
nafsahamis
Nafsa Hamis :
asante kwa kujua
2026-11-11 12:00:02
0
mwakital_________u
MWAK :
cool
2026-11-11 11:05:36
0
user6886612323312
user6886612323312 :
sasa ivo vitu vywahatari sana yanini kuruhusiwa ziuzwe yani hadi nimeogop
2026-11-11 03:11:50
0
hamisi.kinyafu
Kinyafu, M :
mhhhhh
2026-11-11 11:17:39
0
ashleybintsuleyman
ashleybintsuleyma :
ooh!!
2026-11-10 19:07:40
1
hairatyphidel
Hairaty Phidel :
mama angu ataki kabisa gas ananambia mwanangu ninunulie mkaa tu
2026-11-11 08:09:58
2
elibarikijohnson0
elibarikijohnson9 :
Ashe nalengi
2026-11-11 06:31:35
0
naifni
user32766630925940 :
🥰
2026-11-11 11:53:17
0
weda.ndunda.wdzain
weda ndunda @WDZAINI17 :
hii elimu inatakiwa ziwe enderevu kwasababu binadamu tunaharaka na jambo bila kufuata utaratibu wa jambo
2026-11-11 13:03:38
0
adcqd8
z :
dawa ya mbu yaspray ikipulizwa jikoni jiko la mkaa linawaka hiyo ni hatari sana natjlishuhudia hapo ni makaa
2026-11-11 06:35:41
0
reenkitia
reenkitia :
kweli kabisa Mimi niliona mende kwenye shokesi ya gesi nikasema nichukue dawa ya mmbuu niiue huwezi amini ges ulitaka ilipuke nikazima
2026-11-11 07:57:39
0
neemaisaya15
miss💕💕 ney :
nina ushuhuda na dawa ya mbu kidog nyumba ilipuke
2026-11-11 09:25:22
1
mrs202118
💎 :
ndo maana mi napikiaga tu gizan😏
2026-11-11 14:00:38
0
To see more videos from user @peter_waziri, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About