Harrier namba E hiyo ya 27M naomba picha inbox boss
2026-11-10 20:00:20
0
DIRECTOR PICHA :
Sijaelewa Tajiri NimekuDM
2026-11-10 20:09:37
0
siri za magari :
Habari yako ndugu yangu.
Samahani kwa kukutafuta kwa jambo hili. Nimekuwa na wazo la kuanzisha biashara ya usafirishaji kupitia Bolt, lakini changamoto yangu kubwa kwa sasa ni kutokuwa na mtaji wa kununua gari.
Nimeona unajihusisha na biashara ya magari, hivyo nimeona nikushirikishe wazo langu. Ningependa kupata gari kwa makubaliano ya mkopo au mfumo wa kulipa kidogo kidogo kupitia mapato nitakayokuwa napata kwenye biashara ya Bolt.
Nina uzoefu wa kuendesha magari kwa zaidi ya miaka 8, hivyo ninaamini ninaweza kusimamia gari vizuri na kufanya biashara hii kwa umakini.
Niko tayari kukaa chini na kujadiliana nawe masharti yatakayokuwa na manufaa kwa pande zote mbili.
Lengo langu si kupata gari bure, bali kupata fursa ya kujiajiri na kulipa deni kwa utaratibu tutakaokubaliana.
Nitashukuru sana ukilifikiria ombi langu. Asante.
2026-11-10 20:16:23
0
Mwalimu Chris :
HUYU manager wa hii KAMPUNI ana stahili zawadi AMENYOOKA saan !!
nikipata Hela nakuja kununua gari kwako
2026-11-10 20:12:42
0
To see more videos from user @khalidimagaridodomamjini, please go to the Tikwm
homepage.