@joyce.jura: Miaka saba baadaye, wakazi wa zamani wa Buxton bado hawajapata nyumba walizoahidiwa. Kaunti ya Mombasa sasa imesitisha ujenzi wa mradi huo huku wakazi wakisisitiza kuwa wako tayari kulipia nyumba hizo kwa bei nafuu, hawataki za bure. #fyp #foryoupage #mombasatiktokers #buxton #foryou
Joyce Jura
Region: KE
Tuesday 10 November 2026 20:08:41 GMT
Music
Download
Comments
Mariam madogo :
musimsingizie Shahbal tunalia na Msa county
2026-11-11 04:33:18
2
001 Gym :
County walikuwa wapi hiyo 7yrs??
2026-11-11 11:40:06
0
Mindmastery tutor :
salala watu waona siasa hapa na kuna watu hawajapata majumba yao mpka sai
2026-11-11 10:13:04
0
Yemenite :
siasa cheap mumeona Change is coming mumerudisha yote haya sasa. mulikua wapi miaka yote hio?
2026-11-11 06:10:53
0
Abuyaqiin98 :
HAMNA KITU MUTAPATA HII NI MBWEMBWE ZA KAMPENI
2026-11-11 05:47:11
0
athmanahmed :
Mwaona Shahbal ataka mpinga governor abdulnasir mumianza siasa za upuzi
2026-11-11 08:13:55
0
user43414354814786 :
Ardhi ni mali ya nani ilitolewa kujengwa watu wa Boxton ama kuuzwa???
2026-11-11 05:34:36
0
Abuubasra :
sasa mukisitisha ndio nutapata vipi nyumba amkeni
2026-11-11 02:42:02
0
Modi Omar :
huu wote ni unafki nyumba za county government zikaruhusu wenyeji kutolewa sasa wansema nini
2026-11-11 04:17:38
0
Mume wangu :
mchezo wa town nyumba niza county mukapeana contractor akishamaliza ni zenu Sasa mbona museme nyumba niza contractor au developer
2026-11-10 23:44:07
0
Mariam madogo :
unafiki mtupu wa county
2026-11-11 04:32:34
0
user43414354814786 :
Mwenye nguvu ya kusema wakaazi wapewe ni nani???
2026-11-11 05:35:14
0
Sitaki Pressure nataka pesa :
🤣😂
2026-11-11 08:53:01
0
syf :
shahbal ajitokeze awajibu tuu
2026-11-11 04:36:45
0
BuDa :
Hapa wanachezewa shere kisha wanapiga makofi
2026-11-11 05:47:56
0
KENYAN QUESTS 🇰🇪 :
Matumbo yasioshiba reset Mombasa
2026-11-11 05:25:13
0
wahidatimimi :
Na nyinyi county mbona mliachia developer afanye Biashara Kwa ardhi ya Umma bila nyinyi kupata faida yoyote.msitubebe ufala
2026-11-11 09:19:10
0
Ali Juma :
ndio mujue shahbalizing is real wote wamoja hao mulichezwa kama mulivyo stadiumiwa kwisha hio
2026-11-11 04:05:29
0
Sheeko :
Hawa maji wanshindwa kutupa, watatoa nyumba? Ispokua hazitoki kwao na ni kuharibu jina la Shahbal na mikwara.
2026-11-11 18:28:01
0
To see more videos from user @joyce.jura, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.