@iamrasheedah__: 📌Chachandu tamu yenye ladha ya kipekee! 😋🌶️❤️ Kwa kutumia Food Processor ya brinax, maandalizi yanakuwa rahisi na ya haraka kabisa! 🥰 Wewe unapenda chachandu yenye pilipili nyingi au ya wastani? 😍 #tastethattantalize #chachandu #pilipili #follow #like