alipokua anafanya c alikua anaelewa Hadi anaita baby
2026-11-11 05:53:03
11
billinize :
wee uyoo sioo mdogo
2026-11-11 05:37:15
1
Nesth Key vmr :
mimi naingia mtandaoni kila siku lakini sikutani vídeo kama hizo kuanini lakini?😂
2026-11-11 03:00:43
21
user2476814176806 :
mimi jamani nna bahati mvaya nazo sionagi nasikia tu watu wanaongea
2026-11-11 03:41:55
16
HAJRA-♥️ :
Hata mm nilisema vipi kama huyo mtoto ndo angekuwa mtoto wangu😭😭😭😭😭
2026-11-11 07:42:06
1
Navier♥️🔥 :
watu saiv wanachukulia connection kama sehemu ya biashara haipendezi kwakweli 🤔
2026-11-11 05:36:30
4
Nyamsha jr :
kaka we unaakili sna fanya kitu
2026-11-11 04:22:11
23
manwhite :
familia ipate haki ya........
2026-11-11 02:25:28
2
gecha jr :
umeongea kaka
2026-11-11 08:46:22
1
katumwa45 :
kwamba alikua hajui anachokifany h
2026-11-11 04:52:59
4
hosanna akyoo :
ni kweli kaka
2026-11-11 08:33:14
0
Alfred Paul :
Big up fanya kitu
2026-11-11 05:16:09
4
Diana Mtena :
watoto wasaivi hawaski jamani sjui wanataka nin yani
2026-11-11 06:37:12
1
Nova Queen🤴 :
Uyo mtu anaishi wap jamani sahiv ana hali gani 🥺
2026-11-11 06:29:54
1
Rey Ally :
kweli kaka ogela
2026-11-11 06:58:22
1
Tadei Batromeo :
kabisa kaka mungu akubaliki umeona kama mm ivyo ivyo
2026-11-11 04:46:25
1
bang'ara :
kweli
2026-11-11 03:17:30
1
paulnyaribichi :
mimi nadhani Kuna haja ya wazazi kupokea makosa ya watoto positively ili kulinda afya zetu. hajatumwa kufanya vile na ndio kaishafanya kosa kwaio mzazi usiumie sana roho hilo ni kosa la mtoto.kaza roho
2026-11-11 05:22:02
1
Bm 3 pojoss :
nakubanali kak musaidie bhn
2026-11-11 01:11:59
1
Mariamu Ibrah :
🥺
2026-11-11 08:42:42
0
sam denis :
ivi mnataka kutuambia ni mara ya kwanza yeye kufanya hiki kitendo...
2026-11-11 08:56:39
0
kethrobavincent :
@kethrobavincent:Wamuulize pia kama alianzishwa na nani pia aliyemwanzisha msishanga e ni familia na yeye afungwe
2026-11-11 09:17:45
0
RB halinga :
Hilo ukifanya mungu akuongezee🙏🙏
2026-11-11 09:05:04
0
glory@ msemo :
ubarikiwe kaka
2026-11-11 03:22:38
0
To see more videos from user @mtangalala, please go to the Tikwm
homepage.