kuibadilisha degree kuwa pesa ni degree nyingine 😂😂😂😂
2026-11-11 12:40:41
14
carlol Stanley :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] kila mtu ashike chake
2026-11-11 15:14:20
0
Habili John :
na yupo sirias
2026-11-11 08:45:54
28
J7 official :
bila kuchoka
2026-11-11 15:43:11
1
MR. V75 📊💸 :
kumekucha😁
2026-11-11 08:37:47
7
mamu :
nipo njian na mimi kuvirudisha😂
2026-11-11 09:31:53
9
Belle1 :
😂😂😂Naona nikirudisha soon niwekeze pesa yangu bana
2026-11-11 06:36:45
9
zabrah the peace :
sasa nimeamin elnino inakaribia kuanza [Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-11 11:33:47
6
Stasiah :
Hongera kwakujiamulia mambo mwanetu 🤭😁🙌
2026-11-11 12:03:19
3
TARK OG :
maninaaa maamuzi magumu
2026-11-11 06:40:39
4
suma kipingu 🇹🇿 :
huruma sio malez 😂😂
2026-11-11 12:59:08
2
user4194404273235paulo :
kwani serikal unasemaje familia ujuwe mda mwingne nikweli maaana unatumia hela nyingi sana halafu ajila zinakuwa za michongo au kujuana so wawe wanaludisha ada zetu nawao wanatufutia nakala za usomi hapo ndo tutaenda mwanetu umetisha sana💪💯🏋️💯🤝😝😜🤪🫄🤩
2026-11-11 09:51:03
4
ELLY BROWN. Tz :
me nadai millioni zaidi ya 200
2026-11-11 09:07:28
3
Pius jr :
Maaaaaamae
2026-11-11 08:10:13
2
Citizen man :
Nikisema bongo sihamai si mnaona watu wanavyo jiamlia mambo jmn
2026-11-11 08:17:09
2
ANDREA NYEMA :
huluma sio malezi tunataka hada zetu🤣🤣
2026-11-11 14:47:08
1
cutie pie :
tutaona meng mbaka mwaka kuisha😂😂😂
2026-11-11 09:44:33
1
@,alimasi%drv& :
ndo kilichobaki
2026-11-11 06:55:41
1
AG BUSNESS :
kumeanza kuchangamka
2026-11-11 09:37:25
1
SAN electronics :
kesi ishakuwa ngumu huko
na sisi tunafuata.
2026-11-11 08:30:24
1
David mabau :
😃🤣🤣 mtaani pamoto wasomi HI
2026-11-11 10:28:13
1
4rever tz :
ndo tz yetu mda mwingine mtu anaona ni bora asisome2
2026-11-11 10:27:44
1
jecca :
yey Millenia na sisi gea z sijui tufanyeje maana ni weng tulio mtaan
2026-11-11 10:25:49
1
pierre :
msichukulie poa kabisa jmn life is so hard hususa kw wapambanaji
2026-11-11 18:39:23
0
To see more videos from user @the.galaxy765, please go to the Tikwm
homepage.