@user2187144177072: Wale Generation Z mkae kwanza , hamuwezi elewa kabubumbu imetokea wapi, hapa #wahenga tu ndo wanaweza nielewa

JUSEMHALA
JUSEMHALA
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 11 November 2026 04:27:17 GMT
8771
212
13
117

Music

Download

Comments

sangad423
sangaD :
1991 hiyoo
2026-11-12 05:47:29
0
dangote6419
Dangote :
shaaa 🤣🤣 ametukumbusha wakati uwo jamani
2026-11-12 06:36:58
0
thomassankara478
cmwaki2023 :
Enzi hizo mpira sio pesa mpira ni mapenzi ya moyoni kabisa
2026-11-12 04:44:27
1
mussaporoto0
Mussaporoto :
wahenga tu ndo tunakumbika watoto wa 2000 hawawez kujua hii
2026-11-12 06:35:35
0
user3082099477722
user3082099477722 :
daah Yanga iyo ilikuwa hatari Kwa siku tulikuwa tutahangalia mazoezi Kaunda stadium mara mbili asubui na jioni na watu nyomi
2026-11-12 06:29:37
0
happygood1260
happy good :
mwameja sijamskia,
2026-11-12 06:32:23
0
davidizengo
David Izengo :
kweli tumezeeka htr sana.daa nimekukumbka zmni sana
2026-11-12 06:25:54
0
hamisibakali548
hamisibakali548 :
😭😭😭😭 apa akuna god yanga wa mandala kitu kinaitwa chwa akuna wakati hu kila mtu analinda ngongo wake
2026-11-12 06:23:29
0
user4278778553851
mtanga zoka kulu :
mtangazaji huyu alikua noma saana
2026-11-12 06:13:40
0
gratianmwesiga
Dogola :
zamani sana kweli siku zimeenda watoto wetu na wajukuu tuwasimulie
2026-11-12 06:17:13
0
pius.alone
Pius Alone :
elhaj juma seleman nkamia mtangazaji ilikuwa hatari sana
2026-11-12 06:08:23
0
harris6953
harith swim pro :
simba hiyo ilikuwa ya moto
2026-11-12 05:48:47
0
user2222606812132
user2222606812132 :
zamani hiyo 🔥🔥
2026-11-12 04:43:56
0
user47266941046922
user47266941046922 :
❤️❤️
2026-11-12 05:21:28
0
ben_soni
Benson :
nimekumbuka kombe la kagame mwanza msa asan mgosi aliturudisha uwanjani fkk za jionii
2026-11-12 05:43:09
0
user6105686362290
user6105686362290 :
😛😛😛😛😛😛🥰
2026-11-12 06:06:14
0
To see more videos from user @user2187144177072, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About