kweli kaka kama hawezi kuelewa maramoja hawezi kuelewa mara kumi
2026-11-12 18:02:04
0
PETER MADAHA :
ulimwengu unakupa unachostahili kwann umcheke mtu walitukataza sana wazee hiyo kitu
2026-11-12 18:29:11
0
BADNESSQEU :
so true my Gee
2026-11-13 09:08:08
0
rich kama rich :
point talk
2026-11-12 20:52:08
0
Geofrey Mdalo :
Pamoja
2026-11-11 07:24:44
1
Ree crush :
God favorite 😊😊
2026-11-12 08:46:59
0
bernabe :
Mwamba noma uyu 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
2026-11-12 18:50:45
0
forgive :
Genius
2026-11-12 15:07:10
0
BABA DEE :
Huyu jamaa ni hazina ya taifa kuna vitu huyu jamaa anajua sana
2026-11-13 10:52:31
0
Manyota :
ukijiambia ww ni tajiri, haijalishi hali halisi ilivyo, watu wenyewe wataanza kukuona tajiri. Na hio ndio ilikua manifestation yangu ya kwanza and it happened
2026-11-12 10:02:44
7
Absen :
hii kweli kuna watu walinipa kesi flan kiufup walikua wanajua kuw sio mim pesa zilinitoka nikabak sina kitu nikasema flesh Mungu ndio unajua mwaka uliofuatwa alienisingizia na walikufa chap akafuatwa mwingine alienituuma nikasema mama hii itakua dhuruma walionifanyia,
2026-11-11 10:09:41
1
Lord of knowladge :
sis ndo waka wa izo mambo😂
2026-11-24 14:47:11
0
Shoni :
ilinikuta hii kitu nilimwambia mkaka flani ,we nimweupe kama dem nanilikuwa nahasira muda huo na niko na mimba akanambia sawa nawewe utazaa mtoto kama mimi wee mi ni mweusi mtoto ametoka mweupepeee na niwakiume
2026-11-11 17:43:56
0
qibu :
Kuna jamaa aliniudh nakwambia utakufa macho Kwa macho, na alikufa baada ya wiki kadhaa Sasa najiuliza sana na najuta sana kusema vile
2026-11-11 09:29:28
0
Mo redi :
je utajuaje ume tokea ufalme upi?
2026-11-20 15:34:23
0
MOI :
🔥🔥🔥
2026-11-15 18:29:53
0
CLAUDE MAPOZI :
👌👌👌
2026-11-17 14:05:44
0
Asili Glow / Skincare :
🥰🥰🥰
2026-11-12 08:34:05
0
Wakanda. :
[Heartwarming]
2026-11-12 09:14:23
0
Fredy Oisso :
🔥🔥🔥
2026-11-13 13:35:19
0
user9603933758034 :
upo sahihi kwa nafasi yako na watakao kuelewa brother
2026-11-14 14:25:21
0
To see more videos from user @balozikonshazi, please go to the Tikwm
homepage.