@mgaya.jonh: Jamaa Mmoja Alimuacha Mwenzake Poriniii Hakakimbia Haraka Kufka Barabaranii Iliii Apande Gariii Atangulie Waendako Lkn Akujua Kuwa Yule Jamaa Wa Nyuma Aliokota Naulii Yake Pindii Anakimbia Lkn Alifanikiwa Kupanda Gariii Ndani Ya Gariii Jamaaa Akawa Anacheka Mwenzake Kuwa Ni Mvivu Wa Kutembea Lkn Akujua Kuwa Yy Naulii Yake Alidondosha Jamaa Akafanikiwa Kutoka Polinii Na Kupanda Gariii La Nyuma Punde Sio Punde Jamaaa Wa Kwanza Akafika Akaombwa Naulii Akajisachii Ana Ela Akaanza Kulia Na Kumkumbuka Rafiki Yake Punde Sio Punde Akafka Akamkuta Rafki Yake Anazongwa Akatamka Na Kumwambia Ukiondka Mapema Usisahau Mwanga Wa Kumilikia Njia Uipitayo ..