kumbe kuna watu wanaendaga chuo na sio siku ya exam
2026-11-11 18:12:07
34
Mac Muga :
Unaweza ukasubr mpk icho cha sa8 na ikifika mda huo unaambiwa lecture kapata dharura tukutane next day 😂🥹
2026-11-12 09:26:45
28
Fedinand :
lala venue tu kaka
2026-11-11 06:14:01
20
Munuo :
kinachonikut hii semester 🥺🥺
2026-11-11 17:46:00
17
@_𝔃𝓲𝔃𝓪𝓱🦋 :
na bado cha saa nane ikifika kina 😁kuwa cancelled
2026-11-11 21:38:54
10
gee🤗 :
Ndo kilicho nitokea leo Walah 😖😕
2026-11-12 06:11:00
5
🦋Shadya🦋 :
kwaiyo apo uelekeo wapi mwanetu
2026-11-12 15:07:38
0
Evy :
apo naenda zangu library kutumia direct cost na scloor mpk jion
2026-11-13 07:47:07
3
Jaylinny Mario :
huyu ni mimi leo 🤣😂
2026-11-13 11:19:23
0
missneyllah_tz :
inauma jamani nakuelewa 😔😔
2026-11-14 21:37:24
0
__.lanta🌵 :
😅😭💔
2026-11-13 05:44:18
0
yanah♡✿ :
iyo leo iyoooo💔😂
2026-11-13 07:02:03
0
Annie :
Kuamka saa 11 tena watanisamehe🙌🏻😂
2026-11-12 20:59:24
3
candy☺ :
😂😂😂😂Ilaaa
2026-11-12 07:59:52
0
@Řeal Heaveñ...🤍🖤 :
wacha tu🥺
2026-11-12 07:02:40
2
dey.ster😔❤️ :
ni huzuni wallah😫
2026-11-13 19:30:17
1
ᥫ᭡❤️AMINEL🦂ᥫ᭡ :
Si bola saa nane natoka mabibo naamka saa kumi na mbili saa mbili nipo TIA nina kipind cha asubuh saa mbili mpak saa 4 alf kinachofata ni saa 11 mpak saa 1 Usiku😂 nabakig kam fara venue😂😂😂
2026-11-13 20:17:50
0
lodden590 :
iyo Leo iyo
2026-11-12 05:43:40
0
Nyamwanga gal💞 :
daah hiko kinauma kwelii
2026-11-12 16:52:56
0
Peter William :
ahahaaa kamkubwa
2026-11-11 20:22:40
0
cute soph😘 :
imenikuta jana iyo duuh[Embarrassed]
2026-11-12 19:28:57
0
~HANSEL~🥷👑 :
mm narudigi nyumbani😂
2026-11-13 07:40:27
1
it's nassrin 💍🕊 :
Yani unatmn kulia😭😂
2026-11-12 13:04:09
1
To see more videos from user @madilu_2nyi, please go to the Tikwm
homepage.