@vaapendeza_njooup: 🔥🎉 UNAKARIBISHWA! YOU ARE INVITED! 🎉🔥 Hatimaye siku imewadia! ❤️ VAA PENDEZA inakukaribisha kwenye ufunguzi rasmi wa duka letu la UNISEX FASHION! 👕👖 🎁 T-SHIRT BURE! Kwa wateja 30 wa mwanzo watakaonunua bidhaa zenye thamani ya Tsh 50,000 au zaidi. 🏆 VAA PENDEZA LUCKY CUSTOMER! Wateja 5 wa kwanza watakaofikia viwango maalumu vya manunuzi watapata T-shirt BURE pamoja na vocha za manunuzi kuanzia Tsh 20,000 hadi Tsh 60,000! 🔥 SPECIAL COMBO OFFERS! Nunua bidhaa mbalimbali kwa bei maalumu za ufunguzi. 📅 Alhamis, 11 Novemba 2027 🕠 Saa 11:30 jioni 📍 Paje Duarani Sokoni, Zanzibar. Njoo usherehekee nasi, pata zawadi na upendeze kwa mitindo mipya! ❤️ VAA PENDEZA – NJOO U-PENDEZE! #VaaPendeza #GrandOpening #LuckyCustomer #ZanzibarFashion #Paje

VaaPendeza_NjooUpendeze
VaaPendeza_NjooUpendeze
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 11 November 2026 06:00:01 GMT
167
8
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @vaapendeza_njooup, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About