@maarifa_360: Replying to @mawanja Una biashara, au biashara inakumiliki wewe? Fikiria umejenga biashara kwa miaka mitano. Inaingiza mamilioni kila mwezi, lakini ukiumwa au ukisafiri kwa mwezi mmoja, kila kitu kinasimama. Je, kweli una biashara inayojitegemea, au umejitengenezea kazi nyingine yenye majukumu mengi zaidi? Katika kitabu cha The Business of the 21st Century, Robert Kiyosaki anatufundisha umuhimu wa kujenga mifumo ya biashara badala ya kutegemea juhudi zako pekee. Biashara yenye mafanikio si ile inayokufanya uwe bize kila siku, bali ile inayoweza kuendelea kufanya kazi hata wakati haupo. 💬 SWALI KWAKO: Biashara yako inaweza kuendelea kwa siku 30 bila wewe? 📚 Follow MAARIFA 360 kwa uchambuzi wa vitabu, biashara, fedha na maendeleo binafsi. #Maarifa360 #RobertKiyosaki #TheBusinessOfThe21stCentury #Biashara #ElimuYaBiashara

Maarifa 360
Maarifa 360
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 11 November 2026 06:00:19 GMT
1948
147
2
5

Music

Download

Comments

mkmuhongolo2
préfére :
🥰🥰🥰
2026-11-11 09:02:26
1
To see more videos from user @maarifa_360, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About