Aiseee iyo sadak ya ngono natoa sana,nibarikiwe tu sasa 😂😂
2026-11-11 08:55:21
27
Babwiriza Generose :
Ngono njo nini baba
2026-11-11 10:14:05
2
DiahQuan :
Nipee namba ya Mungu wa ngono.🙏🙏🙏
2026-11-11 08:15:25
13
Spare parts :
kama kuna miungu mingi kwanini tusifokasi kwa Mungu wa kweli aliyeziumba mbingu na nchi mimi hayo mengine hayana faida kwetu fundisheni nguvu ya Mungu wa kweli ili tuwe salama.
2026-11-11 08:11:08
8
rajabu wa hamza :
semaa majini bhana sio miunguu
2026-11-11 12:51:46
1
Jr ... :
maelekezo yamekuwa mengi mnanichanganya😳
2026-11-11 11:27:57
3
Boss lady :
Wasema Watu Wapeane TU. Mtumeeee🤣
2026-11-11 13:45:00
0
tomaso :
big up bro for the big revelation
2026-11-11 10:40:22
1
Alex Sarumbo :
sure bro
2026-11-11 12:01:42
0
Zombie wa Mazombie :
napenda unavyoelezea masuala haya , kwa lugha ya kuelewaka kwa urahisi
Barikiwa
2026-11-11 08:19:40
5
Wadres :
Ila Mungu ni moja tu 😌
2026-11-11 11:34:25
2
pilipili :
miungu ni mingi sana lakini MUNGU ni mmoja tu
2026-11-11 16:16:57
0
beautymyra122 :
kumbe Kuna ya ngono bana ..niunganishen uko🤣
2026-11-11 10:20:50
1
Professor Rahul King 🤴👑 :
na vp kuhusu sadaka ya isaka kuchomwa na babae itakuwa Miungu ya sadaka ya kuchomwa watoto alikuwa anataka sadaka au
2026-11-11 09:57:58
1
LUAMBANO Emily😔😔😔 :
mtumishi fafanua hiyo.kutupa watoto.kwenye moto kwa dunia ya sasa
2026-11-11 10:25:29
1
your ex's fav :
the qreatest gods in hell is anaki(annunaki gods) the most advanced technology features are they
2026-11-11 09:13:52
0
Agriculture Durable Annuel :
moi je pense qu'on peut juste négocier Dieu. qu’il nous aide a juger le congo avant même la fin du monde. il va comprendre 😭😢
2026-11-11 08:53:24
0
kim_nanah💕🦋 :
ila Mungu ni mmoja tu
2026-11-11 14:02:43
0
chunya child :
ngono tena
2026-11-11 07:57:12
0
pilatopot :
kweli
2026-11-11 12:14:50
0
christine_wog12-12 :
exactly 💯
2026-11-11 13:21:03
0
Alex Sichone :
shida ya mafundisho ya kisasa mnatuogopesha sana ndo maana watu wanaona liwalo na liwe
2026-11-11 15:30:07
0
Siweeh cathles :
Mungu bahari ndo nani huyu
2026-11-11 12:18:22
0
LE JUSTICIER :
Leta part nyingine.
2026-11-11 12:53:11
0
gloriana176 :
Sijaelewa 🤔
2026-11-11 14:57:10
0
To see more videos from user @godfrey_thedisciple, please go to the Tikwm
homepage.