@mkubwamungunews: #Updates: Polisi nchini Uganda wamewakamata watu wawili wanaotuhumiwa kuhusika na mauaji na biashara haramu ya viungo vya binadamu, kufuatia uchunguzi wa vifo vya wanawake kadhaa katika eneo la Masaka. Kwa mujibu wa polisi, mmoja wa watuhumiwa anadaiwa kupewa Shilingi milioni 2 za Uganda ili kutafuta viungo vya binadamu. Uchunguzi wa tukio hilo unaendelea. ✍️ @saiya_johnj #habari

MkubwaMungu News
MkubwaMungu News
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 11 November 2026 06:47:48 GMT
43460
656
128
398

Music

Download

Comments

.treisha
Tee🦋🦚🌺 :
mukipata namba mnishtue na mimi
2026-11-11 08:40:49
12
user3330267250302
fadhila :
mje nauku Tanzania maana yakwetu nikuangalia tu connection
2026-11-11 10:08:18
10
corzone6
coràzone :
mbona wazee tu
2026-11-11 08:55:54
3
aggybenny29gmail.com
[email protected] :
mbona hamsemi bei sasa
2026-11-11 09:31:15
3
user7757508897968
🇷🇼🇹🇿Imana ishimwe🥰🙏 :
Sasa mbona ni wazee tu hii taarifa haijakamilika wenda wazee wanaumwa macho au mnataka kusema vijana hawapendi pesa kuna kitu hakipo sawa🤣🤣🤣
2026-11-11 10:56:13
1
user17657902190862
🥷🥷 :
kwani ya Uncle T nayule wakenya jumla itakuwa shingapi tajiri nianze kuunza nyau wangu nipate nauli
2026-11-11 10:08:28
3
lusekelomwaitege
lusekelomwaitege :
mwanga wa milele uwaangazie
2026-11-11 09:16:15
9
1025october
October 25🦋 :
wamenunua macho yaliyo ona mengi
2026-11-11 10:07:39
1
mwaisa013
MWAISA OUTFIT 🧥👚👗👔🩱👜👠🥾 :
jamani macho tena. Aaaa ikifika zamu ya k mnishtue wanangu
2026-11-11 10:35:51
1
mamy.chris7
Mamy Chris :
jman seriously?
2026-11-11 09:34:50
1
shufaaemily
shuu 🦋🌺🦫 :
tanzania wanakuja lini me na macho manne ety😳😳 niuze mawili
2026-11-11 09:49:17
1
metronidazole.mic
petronila :
jmn isije ikafika na hukuu kwetuu jmn🤣🤣🤣
2026-11-11 10:59:31
1
dear.dear6285
Dear Dear :
nikiuza na pata iphone18 ety
2026-11-11 09:35:07
1
missmunissi1
Miss :
mwendo wameumaliza
2026-11-11 10:04:04
1
lovemella.4433
mellammbaga :
na mbon wote ni wazee au macho ya wazee ndo mazur nikamchukue mzee wng
2026-11-11 09:14:46
1
steve...27
ՏԵҽѵҽ@27 :
nawapataje Hawa watuu 😥😥
2026-11-11 09:33:18
2
user687131232831
Mrs R.B.T💕 :
wallah
2026-11-11 09:43:07
1
newton.tz0
Newton kwekatz♤ :
wanadaiwa na nani..
2026-11-11 09:32:41
1
corzone6
coràzone :
amma kweli dunia inamengi
2026-11-11 08:55:38
4
ratifa6210
Ratifa kanjanga :
waje tz niuze hata vidole mimi
2026-11-11 09:11:36
3
hadija.hamadi09
LULU OUTFITY ✅💫 :
Mbona kama wanazingatia kwawazee auyawazee ndio dili
2026-11-11 09:40:49
2
user9112618140161
Grace raph :
maisha magumu aise😂
2026-11-11 08:40:42
3
jackies883
Jackie's collection :
tz wasione jmn
2026-11-11 09:20:08
2
fadhil.omar63
Fadhil Omar :
Yani kuna uongo wa kupotiliza
2026-11-11 09:41:46
1
moni32002
moni :
daah hi ni balaaa
2026-11-11 09:46:01
1
To see more videos from user @mkubwamungunews, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About