@veriafya: Akizungumza kupitia chaneli ya UTV, Azam Media, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Dkt. Peter Kisenge amebainisha kuwa mojawapo ya mambo wanayoyaona sasa ni kuongezeka kwa Wafanyakazi walioajiriwa ambao kazi zao zinahitaji kufikia kiwango fulani cha mafanikio (Key Perfomance Indicator-KPI’s) ambao wanapata Madhara makubwa yatokanayo na Magonjwa yasiyo ya kuambukiza, hasa Presha. Miongoni mwa Kinachosababisha changamoto hii ni Wafanyakazi hawa kuishi maisha yenye Stress pamoja na kukosa muda mzuri wa kupumzika ili watekeleze malengo waliyowekewa na taasisi zao.

Veriafya
Veriafya
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 11 November 2026 06:49:44 GMT
7987
87
1
22

Music

Download

Comments

shamsiyaabdallah1
user8477505390361 :
KPI-KEY PAFORMANCE INDICATOR
2026-11-11 07:44:50
0
To see more videos from user @veriafya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About