yani uyo derev alikuwa anadai hela zake sasa kamfata boss kamweleze situation bossi akamjibu brgevecgwonvfejemwiwvbdnskegnwibbeur. yani mpaka sisi tuliumia🥺
2026-11-11 15:40:42
2
TATIZO ELIMU :
kwa heshima mkuu huezi kufanya hivyo bila sababu za msingi najua binadam wana zarau
2026-11-11 13:31:59
4
hemed issa 🧿 :
kwaeshima mkuu
2026-11-11 13:10:32
2
Selymu :
Nisawa kila HATUA dua 👊🏻 USIHISI UNAUTOFAUTI NA MWEZIO SOTE NIKITU KIMOJA KIKUBWA HESHIMA . 😂😂😂😂😂✌🏻✌🏻✌🏻🫶🏻🫶🏻🫶🏻 #MALCOLM X
Mimi ni MTU niliye kama wewe ulivyo unataka kujuwa nitakufanya nini? jaribu kufikiri ingekuwa wewe ungefanya nini? Nitafanya Hilo Hilo tena nitaongeza kidogo.
2026-11-11 14:37:32
1
🦋reenie🎀🌸 :
Mbn nimesikia hajalipwa ela yke😳😳
2026-11-11 09:29:32
2
jy wheez :
yani uyo kapatia sanaaa afu kamsame mnoo mbona
2026-11-11 19:12:24
0
Money 💰 Boy Brand :
safi kabisa yani 🫡🫡🫡🫡😎
2026-11-11 16:31:29
0
t konde :
dar noma kaka
2026-11-11 10:04:27
0
Kabhi haa kabhi naa :
Wapi hii
2026-11-11 14:26:54
0
Bravo Debose :
yap??
2026-11-11 08:52:32
0
D4K 37 SHOYA💥🍁🥶 :
TOENI TAAALIFA ZINAZOELEWEKA
2026-11-11 10:27:52
1
☘️🍁..Ukhty...lii..🍁☘️ :
unacheka kama hayajakukuta inauma sana
2026-11-11 18:54:33
0
Innocent Shikimayi :
😂😂😂
2026-11-11 18:22:17
0
To see more videos from user @mzansigroove2, please go to the Tikwm
homepage.