Nyerere aliwahi kusema `Hatuwezi kutatua tatizo kwa kusema hakuna tatzo'
2026-11-11 09:32:02
15
danny_brown_tz :
amna hata serikali inajua ndio Jamii wanayotaka kuitengeneza lakini wanajifanya kama wao wana hisia sana na upendo
2026-11-11 08:35:03
8
P. Ng'osha :
sheria iwaadhibu wote binti na mwanaume tatizo linaisha
2026-11-11 16:43:56
4
Luvboy_Msafi :
naiomba connection Kwanza
2026-11-11 13:48:13
2
priority :
point to note
2026-11-12 01:47:18
0
joshua :
No sheria kali ikitekelezwa inawezekana mfano mzuri angalia china sheria zao kwenye mambo ya kijinga kama hayajakomeshwa
2026-11-11 08:34:25
6
allymbonde246 :
sanga your smart
2026-11-11 18:53:22
0
lukukamwajombe :
kunamatatizo kweli
2026-11-11 08:23:31
6
@kareem :
big mind
2026-11-11 10:25:16
0
MayyNane :
Wote tunajirekodi hazijavuja tuu[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-11 14:52:00
2
sw :
Aliye kuzaa Ana akili San
2026-11-11 10:48:00
6
En Caul13 :
for sure bro
2026-11-11 10:54:41
0
anodymasasi18 :
yan kaka unasema ukwel mtupu tatizo kubwa malez
2026-11-11 09:01:45
5
VIONGOZI (Patriots) :
fact fact
2026-11-11 18:18:47
0
amina yz :
anayetak
2026-11-11 23:35:49
0
sauli konde tz :
hicho ni kidogo kuliko kikubwa kilichopo yaani haya yanafanyika kwa ukubwa kwenye jamii kwa usili shida akionekana mmoja kuionyesha ukweli uliopo anashambuliwa kama hawayafanyi.ondoe mshangao
2026-11-11 08:52:43
4
My Bunuzi :
Nawaza tu hii angekuwepo JPM ingekuwaje
2026-11-11 18:52:05
0
Evance Goodluck :
Nimekuelewa kaka na umeeleza vyema
2026-11-11 15:14:56
2
Rugemalila :
hata Rais alijichagua mwenyewe
2026-11-11 15:51:52
2
Muzammil Maulidi :
sahih kabisa
2026-11-11 08:26:01
4
Leroy :
ukisikiliza vizuri jamaa ana point ☝️,
2026-11-11 10:34:52
3
ally brand :
me naona simba bingwa2😂😂😂
2026-11-11 07:59:43
4
To see more videos from user @mathayosangason, please go to the Tikwm
homepage.